Naomba kueleweshwa kuhusu kisomochenye nguvu zaidi, miaka ya tisini mwanzoni kulikua na mtafaruku wa kidini, na kiongozi mmoja wa serikali akaombewa Itikafu, sio Albadiri, sinus Kama ilimpata
Salamu za jumapili mchana,
Hivi huyu mbunge anaiga kila jambo la MKOA wa Rwanda litumike na taifa hili kubwa la TANGANYIKA?
Yaani pale mkoani ndiyo kisima cha linchi hili lote kuchota...
UNGUJA: Kituo cha Mafuta cha United Petroleum(Kinachomilikiwa na Mfanyabiashara mashuhuli Bakhresa) kilichopo katika eneo la Kinazini chaungua kwa moto mapema leo. Aidha tayari kikosi cha zima...
Wakuu hii kitu huandikwa ila nadhani elimu yake ni ndogo sana.
Wenye magari wanaogopa kuvujiwa vioo vyao au?
maana mfano gari ichemshe au ipate tatizo lingine kubwa mbele uone moshi upaniki wee...
Kuna huu utaratibu Wa maafisa Wa TRA kufunga maduka ya watu Kwa makufuli yao, wanapokuta mtu kafunga Duka lake;
Swali 1: ikitokea mtu huyo akaamua kulivunja kufuli lao lililongezwa juu je...
Kwa miaka mingi sana nchi ya Tanzania imekuwa ikisumbuliwa na maadui wakubwa watatu ambao ni ujinga, maradhi na umasikini na miaka ya karibuni wameongezeka maadui wengine kama rushwa na ufisadi...
Nurses jamani niwalaumu nyie au ndivyo mulivyofundishwa? Kazi zenu hospitalini ni nini haswa? Kugawa vidonge na kuchoma sindano tuu? Kero jamani!
Sasa nazungumzia mkoa wangu Kilimanjaro na...
Jeshi la polisi mkoa wa mjini magharibi linawashikilia watu 20 kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Akizungumza na waandishi wa habari kufuatia tukio hilo huko katika kituo cha...
Hello JF,
Leo tushirikishane, vyuo vya engineering-wanafunzi pamoja na walimu, wachekeche vichwa kuhusu Dar. Kusoma mazingira ya Dar es Salaam yakoje, na kutupa best available solution, hii ya...
The Name of a Holy BIBLE should be Named again(Should be Changed). Follow the Reason on this video Clip.
Jina la BIBLIA linatakiwa kubadilishwa. Fatilia sababu za kubadilisha katika video clip...
Mwanamke mmoja wa Jamaica anayedhaniwa kuwa mtu mkongwe zaidi duniani, Violet Mos Brown amefariki akiwa na umri wa miaka 117.
Waziri Mkuu wa Jamaica alitangaza kufariki kwa mwanamke huyo kupitia...
Nichukue fursa hii kuwasilisha hoja Kwa mamlaka husika ili zichukue hatua dhidi ya uongozi wa shule ya sekondari ya Bagamoyo iliyopo mkoani Pwani.
Uongozi wa shule hasa mkuu wa shule ameshindwa...
Bado nachelea kuamini madai ya kutumia milioni 10 kwa siku kwa matibabu ya Mh. Lisu!
Anatibiwa nini kila siku kinachogharimu hiyo pesa?
Kwann mbowe ameng'ng'ani huko?
Milioni kumi kwa siku ni...
Mipango ilikuwa ni kumuua mlengwa na ikibidi na dereva pia.... Intelijensia iliyotumika haikupangwa na watalaam na pengine kitengo cha usalama mkuu hakikujulishwa ama la kama kikijulishwa zilikuwa...
#Habari:Mkazi mmoja wa Manispaa ya Mtwara Sharifu Issah al maarufu Zamda Salumu amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vitendo vya utovu wa kimaadili kwa kujifanya mwanamke na kumshawishi...
Vijana wengi wanaotumwa/wanaotumiwa kufanya mauaji ya watu maarufu, wasiostahili kuuawa, huishia kuwa wagonjwa wa akili/mataahira.
Mmoja aliyewahi kummwagia tindikali mtu fulani maarufu...
Kwa WANAHARAKATI na WANANCHI.
Kwanini Watanzania ni wagumu sana kuelewa jambo au kubadili Fikira?
Nifuate ujue Ukweli wote kwa clip hii ya video facebook: Deogratius Nalimi Kisandu
Bomba limepasuka wiki ya tatu Sasa na tunakimbilia mwezi kuisha ktk makutano ya mtaa wa Chiwanda na Mwongozo Tandika lakini DAWASCO wako kimya kabisa pamoja na kupewa taarifa na hata ofisi zao...
BRING BACK DEO KISANDU.
Kwa kuwa Mimi mmeninyima Haki ya kifamilia na ushirikiano mpaka haki ya kufanya maendeleo yangu binafsi nayo nimepokonywa na Mimi nawanyima Haki ya kuishi kwa Jina la...
Ndugu wana jf na Jeshi la Polisi Tanzania ninaomba mnisaidie kuwachukua watoto wangu wa kuzaa mimi mwenyewe na mniletee kwani mpaka sasa wako mikononi mwa maadui zangu na watoto wanapotoshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.