Unapata zawadi gani?

Principal Focus

JF-Expert Member
Jan 4, 2013
925
548
Unapata zawadi gani pale ambapo unacheza na hisia za mtu. Yeye anakuwa amejitolea kwa moyo wake wote kuwa na wewe but unacheza na hisia zake!! Unafaidika na nini?

Magonjwa mengine kama madonda ya tumbo, kuishiwa nguvu katika mifupa hata presha pia hupatikana na kucheza na hisia za watu.. Reaction yako katika expectations zao unakuwa umewaumiza katika roho na nafsi...

Je utalipia bill za matibabu yao au utalipia gharama za kuwaumiza?
Kuna watu wanatarajia wewe uwe bora but unawaangusha.

Unaweza usiwaone na ukaamuwa kukata tamaa but ule muda unakata tamaa ndipo muda ambapo watu hutaka kukujua na kuhitaji huduma yako ya kile ulichokuwa unafanya, you let them down for feeling sorry to yourself because you can't bear the pain. That time is like you're facing death and you find a way to survive, but you survived by choosing to give up hujataka kuchukua majukumu.

Lakini umepata zawadi gani kwa kuwaangusha wale waliokuwa wanakutegemea utafanya zaidi? Unajisifia nini kwa kubadilisha maisha ya watu na kuwa mabaya kisa tu uliwadanganya utamuoa au utaolewa naye!?

Huyo mtu kaishi maisha yake akikuami i but umeumiza hisia zake.. Pengine umemuachia magonjwa au mtoto na kumkimbia. Umembadilisha mtu mzuri kuwa mbaya sasa unamuita malaya iliuonekane innocent. Faida gani unapata?

Ulisema utabadilika lakini ukaenda mwaka wa kwanza, pili, na huu wa tatu bado uko vilele na tabia yako
 
Kuna mambo mengine hayaelezeki wala huwez kuyaelewa, kuna ii kitu inaitwa falling in love with wrong person at right time, na kuna nyingine falling in love with right person at wrong time,... Zote mbaya ila solutions ni kujitazama limits zako usiende overboard zaidi ya kile unachoweza yaani wakati wa kusema "enough is enough " iyo moment will let you be in control, baada ya iyo moment there is nothing you can control and you will always loose
 
for me in any relation kuna check and balance, it reach a position to let it GO. Kwanini uridhie nafsi yako iumizwe na mtu ambaye mmekutana ukubwani? while we upo in critical condition ya soul pain mwenzio anaendelea na Maisha yake. Remember hapa duniani tunakutana na watu wengi kila mtu anaroles zake Wapo wanaokufundisha na wapo watakaokupa amani na furaha, no need of regretting to promise some one doesn't means ur are confronting to fulfill them, everyone want a piece of mind. na kila mtu Lazima apambane na hali yake
 
Hapa nazungumzia kwa wale watu ambao wanafanya kuumiza wengine. So haitaleta maana ya tafsir ya kupenda/kupendwa kwa wakati sawa or mtu si sahihi kwa wakati sawa
 
for me in any relation kuna check and balance, it reach a position to let it GO. Kwanini uridhie nafsi yako iumizwe na mtu ambaye mmekutana ukubwani? while we upo in critical condition ya soul pain mwenzio anaendelea na Maisha yake. Remember hapa duniani tunakutana na watu wengi kila mtu anaroles zake Wapo wanaokufundisha na wapo watakaokupa amani na furaha, no need of regretting to promise some one doesn't means ur are confronting to fulfill them, everyone want a piece of mind. na kila mtu Lazima apambane na hali yake
Ni rahisi kusema kwanini uumie kwa mtu uliyekutana nae ukubwani but ni vigumu kukubali ukweli, kuna vitu mtu akivifanya au kuongea moyo wako lazima uumie, na ndio maana vidonda vya tumbo wagonjwa ni wengi, presha na homa ya mifupa etc etc... But yote ni kwaajili tu ya kitu ulichochukulia simple na kusema haina maana.
 
Back
Top Bottom