Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,900
Habari za wakati huu wadau.
Naamini humu siwezi kukosa msaada kabisa maana kuna wataalamu wakila aina.
Kwa yeyote anayejua mawasiliano ya kampuni ya google hasa email ya office naomba.
Kuna msomi mmoja nakaa naye amenikatisha tamaa, anasema hawana ofisi maalumu ndio maana hata kodi hawalipi.
Hii ilikuwa ni baada ya ku-google mawasiliano yao na kuishia kupata ofisi za kikanda tu na namba zao za simu bila email.
Kuna shida nimeifikiria kwa muda nataka tuwasiliane,kama itawezekana.
Ahsante.