Inna Lillahi wa inna ilayhi raajiuun,..
Prof. Jahazi amefariki Dunia muda huu.
Allah amsamehe, atie Nuru ktk kaburi lake na ampe kauli thaabit ndugu yetu [Allahummagh'firllahu].
Maziko ya Prof...
Ee sasa nisemeje, wenzetu wako mbaali kweli kweli kama ni mafuta tulikuwa nayo, madini, aridhi n.k kwanini hakuyachimba sasa hayo madini.
Leo tungekuwa kama USA au Dubai.
Nyerere tunamsifia bure...
Kutokana na report iliyotolewa na UN Human Development Report East Africa ,
Kenya yaongoza kwa kuwa na asilimia kubwa ya wananchi wake kutokua na ajira.
Huku Rwanda na Burundi zikiwa na asilimia...
Serikali ya Uingereza inawasaka washukiwa wa shambulizi lililotokea katika stesheni ya treni ya chini ya ardhi, ambalo limesababisha kujeruhiwa kwa zaidi ya watu 20 katika kipindi hiki ambacho...
Wadau;
Yapata wiki ya pili sasa sipati Azam customer service kwenye namba zao pendwa.
Naomba mwenye namba inayopatikana anisaidie kwani nakwazika sana shauri signal zao zinapotea mara kwa mara...
Pamoja na Dar es Salaam kuwa na upepo mwanana na mandhari nzuri kutokana na uwepo wa Bahari, Fukwe za Jiji la Dar es Salaam limejaa uchafu wa plastic bags , bottles , na kila aina ya uchafu...
Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Jonson Mwangosi na familia ya Dk Paul Kyara inamuomba Rais John Magufuli kuwasaidia kiasi cha Sh32 milioni kwa ajili ya kwenda kutibiwa figo zake...
CDF Mabeyo anashangaa kwa nini watu wana hofu na matukio ya mashambulizi ya risasi ya hivi karibuni kuliko ilivyokuwa wakati wa mauaji ya viongozi wa vijiji vya kibiti.
CDF Mabeyo amegundua kuwa...
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani, limekusanya zaidi ya Sh. milioni 316.6 ndani ya siku mbili kutokana na oparesheni ya ukamataji wa magari...
Uzoefu unaonyesha nchi nyingi za kiafrika hususan Tanzania watu wake wana uchu wa madaraka/ vyeo, wapo tayari kufanya lolote iwe kuhonga(kutoa rushw), kuroga (kutumia ushirikin), kujipendekeza kwa...
Kuna clip inayotembezwa mtandaoni ambayo "Bwana" yule anasikika akisema kuwa mtu yoyote atakayetaka kumkwamisha kwenye hatua yake ya kufikia malengo aliyojiwekea ya kulikwamua Taifa hili kwenye...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba tufikiri kwa kina, je ziwa ni chanzo cha maji au hifadhi ya maji?
Ziwa Victoria
Ziwa Nyasa(Malawi)
Ziwa Tanganyika.
Nia na madhumuni ni kujua...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, anaungana na Rais Magufuli, viongozi wengine na wananchi, katika kumuombea Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antiphas Lissu...
Filamu kuhusu shambulizi la kigaidi la Alshabaab nchini Kenya ambapo watu 28 waliuawa ndani ya basi eneo la Mandera mwaka 2014 imeshinda tuzo la Oscars kitengo cha wanafunzi.
Filamu hiyo pia...
Hivi ulishawahi kujiuliza waganga au matapeli wanatoa wapi taarifa zetu? :eek:lol unafahamu kila unapojiunga na kuipa ruhusa mitandao ya kijamii unajitengenezea mtandao usioujua ambao mwisho wa...
Habari ya weekend wanajukwaa
Natumai mpo vema kwa upande wangu nipo sawa muda huu nasikiliza kitambaa cheupe ya mzee wetu king kiki, najihisi mwenye furaha japo wengi wetu kiuchumi hatupo vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.