Askofu Gwajima ashinda kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha, hakimu aitaka Jamhuri kumrudishia mkoba wake

kimpango

JF-Expert Member
Apr 24, 2011
600
716
Wakuu niko Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi, Mkeha anasema hukumu nitawajuza. Waumini wamejaa kumsindikiza Askofu na wenzake.

Nitawajuza
===== Update=====

Askofu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima leo alisomewa hukumu ya kesi juu ya silaha akiwa na wasaidizi wake watatu, akiisoma hukumu ya kesi hiyo ya mwaka 2015, hakimu wa mahakama hiyo ya Kisutu alithibitishia umma kwa kusema kutokana na ushahidi upande wa mshitakiwa (Askofu Gwajima) akiulinganisha na ushaidi upande wa Mashitaka(Jamhuri), haoni sababu ya kumpa adhabu Askofu Gwajima.

Hakimu ameitaka Jamhuri kurudisha begi na silaha anayoimiliki Askofu Gwajima mara moja.

Kwa kusema hayo Gwajima Ameshinda kesi dhidi ya Jamhuri . kwa kumbukukumbu jamhuri iliwakilishwa na Wanasheria wawili wa serikali mmoja akiwa ni Kimaro wakati washtakiwa wote 4 walikuwa wakitetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.

img_20170915_122723-jpg.588807


Picha mahakamani baada ya hukumu​
 
Afungwe mwaka mmoja au miezi 6 ili akajifunze kutii sheria sio kumiliki silaha ki holela....
 
Kesi ya Askofu Gwajima na wenzake ya mashtaka ya kukutwa na Silaha.na kushindwa kutumia Silaha.imekwisha Jamhuri yaangukia pua
 
Back
Top Bottom