Vyeti vya Hisa za Vodacom vinapatikana wapi?

Vyeti vya Hisa za Vodacom vinapatikana wapi?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Mwannzoni tulielezwa kuwa VYETI VYA HISA ZA VODACOM tayari ziliishatoka na zipo kwenye maeneo yale ambapo mteja alinunulia Hisa zake. Nimefuatilia kwenye Benki ya CRDB niliponunulia Hisa zangu lakini nimejibiwa kuwa vyeti havijatoka. Naomba nipate jibu la uhakika kutoka Vodacom kuhusu suala hili.
 
Kuna ndugu yangu alinunuaga hisa shirika la pangaboi mwaka 2012 akawa anatamba zimapopita angani anasema unaona chombo changu hicho!
Matokeo yake mpaka leo amebaki na makaratasi tu mkononi.
Biashara ya hisa ni pasus kichwa.
 
Mimi nilinunua NBC na walinipigia simu kama wiki tatu zimepita sijapata tu muda wa kwenda. Itabidi Jumatatu nitenge muda niende na nitaleta mrejesho panapo majaliwa.
 
Back
Top Bottom