kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,332
- 17,582
Akiba haiozi, utaitumia wakati mwingine kutatua shinda zitakapojitoza. Akiba sio pesa tu bali hata vitu, maneno na vitendo pia vinawekeka akiba kwa matumizi ya baadae.
Leo mnasema ni marufuku watu kukutana kumfanyia maombi "mtu" mgonjwa ili apote haraka kesho mseme hivyohivyo hata kwa "watu" wengine wenyewe uhitaji wa kufanyiwa maombi ili msije mkaonekana mnatumiwa vibaya.
Toeni ulinzi kwa watu wanaotaka kufanya maombi kama mnadhani wanaweza kuwa na nia ovu ili kutoa fursa kwa wetu wengine tupata huduma hiyo siku za mbeleni huduma hivyo itakapohitajika mahala pengine na kwa watu wengine wenye uhitaji bila kusababisha minong'ono. Maana watu wana tabia ya kutunza kumbukumbu.
Kila mtu ana mchango mkubwa katika kudumisha amani yetu, hata polisi inaweza kuwa chanzo cha hasira za wananchi kutokana na ama maneno, vitendo vyao au kwa kushindwa kwao kuwashauri wanasiasa kuhusu vyanzo vya hasira, migomo, maandamano ya kupinga au migogoro kwa wananchi.