Naibu Spika Tulia Ackson kuiteka Tukuyu!

Naibu Spika Tulia Ackson kuiteka Tukuyu!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,126
20170915_082211.jpg

Dr Tulia Ackson anaingia ulingo wa siasa Wilayani Rungwe kama farasi wa Ngong.

Kuanzia tarh 21 hadi 23 Sept 2017 kutakuwa na ngoma za asili katika mji wa Tukuyu.

Naona kwa spidi hii, huyu mbunge wetu bubu, SH Amon azione hizo indiketa na akae chonjo!
 
UBUNGE 2020 MBIO ZINAANZIA MBALI
Mnooo. Watu wanapiga kuanzia mbali sana. By the way sioni kama Mhe. Sauli Amon anawajibika ipaswavyo kwa wananchi wa jimbo lake. Simsikii sana bungeni, ni kama alivyokuwa Rostam.
 
Mnooo. Watu wanapiga kuanzia mbali sana. By the way sioni kama Mhe. Sauli Amon anawajibika ipaswavyo kwa wananchi wa jimbo lake. Simsikii sana bungeni, ni kama alivyokuwa Rostam.
Husikii sana?
Kwani SH Amon ushawahi kusikia akitetea au kupinga hoja yoyote?
 
Husikii sana?
Kwani SH Amon ushawahi kusikia akitetea au kupinga hoja yoyote?
Sijawahi, ndo sababu nikawa najihoji kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.
Nakumbuka Mo Dewji, Rostam Aziz na wengine kama wanne hivi hawajawahi kuongea lolote bungeni tangu wanaingia mpaka wanatoka awamu zilizopita [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85]
 
Its a wait and see.
Tazama mashirika yaliyo msponsor!
kwani mashirika ndo yanapiga kura? kwa ufahamu wangu hapa tanzania maeneo ambayo hayatabiriki na voters hawayumbishwi ni kilimanjaro na Mbeya kwahiyo mwambie asimwage sana pesa yake asije kunywa sumu bure
 
The place is so green, Tukuyu kupo safi sana kama hali ya hewa ile ingekuwa Dodoma au Dar ningeishi sana mikoa hiyo, I love Tukuyu msiharibu mazingira nyie washamba wetu wanyakyusa
 
The place is so green, Tukuyu kupo safi sana kama hali ya hewa ile ingekuwa Dodoma au Dar ningeishi sana mikoa hiyo, I love Tukuyu msiharibu mazingira nyie washamba wetu wanyakyusa
Mkuu ile baridi ya pale ni ya aina yake.
 
Back
Top Bottom