Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jukwaa poleni na purkushani za hapa na pale me nilikuwa nataka nijue hawa jamaa wanaokaa nje ya kituo cha Mabasi ya mikoani ubungo utaratibu wanaoutumia ndiyo maelekezo ya ofisini au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau tokea majuzi Nimesikia Wimbo wa Taifa la Jamhuri la Tanzania Ukipigwa Kwenye Radio Ya Clouds FM Cha kushangaza huu Wimbo Umegeuzwa kama Kibwagizo unapigwa Ovyo Ovyo Na Kibaya Kabisa huo...
3 Reactions
168 Replies
15K Views
  • Closed
Wapenda mabadiliko kote nchini,siku hii ya September 7 kila mwaka sidhani kama inapaswa kupita hivi hivi bali tunapaswa kuitambua kwa namna moja au nyingine kutokana na uzito wa tukio lenyewe na...
10 Reactions
70 Replies
5K Views
Naeleza hisia zangu kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni Uzi huu hauna chembechembe yoyote ya uchochezi Mimi ni miongozi mwa watanzania niliezaliwa enzi za utawala wa awamu ya pili Kwa...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Ukishinda humu siku nzima kwa wiki hata tatu hasa jukwaa la siasa unaweza kudhani hali ni mbaya kupindukia. Mwelekeo wa mazungumzo yote ni kana kwamba tunaishi kwa rehema na neema za Mungu...
13 Reactions
86 Replies
6K Views
Wakazi tisa kutoka kijiji cha Kasinde wilayani Momba wanashikiliwa na jeshi la polisi wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa kwa tuhuma za kuuzana wengine kununua maeneo ya hifadhi ya msitu wa Mlenje na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabodi, Kama kawaida yetu JF, be the first to know, niko hapa Hoteli ya Hyatt Regency, (zamani Kilimanjaro Kempinski), kwenye hafla ya uzinduzi wa malipo kwa njia ya mtandao, kwa kutumia simu...
12 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kweli wafanyabiashara ndogondogo wasibugudhiwe. Ila hili kinachoendelea Kilwa road especially huku kwetu Mbagala rangi tatu ni zaidi ya kero. Hawa ndugu zetu wapo katikati mwa barabara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hizi sheria za UN zipitiwe upya, maana kuna wanajeshi wetu wanaenda kulinda amani katika nchi zenye machafuko kwa kutumia peacekeeping wengi wao hula ambush na kufa. Peacekeeper wengi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Unene wa mwili kupita kiasi na mama wazee ndicho chanzo cha kuwepo maelfu ya wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji, kwa mujibu wa wataalamu. Takwimu zinaonyesha kuwa upasuaji uliopangwa au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumekuwa tunajidanganya na kuwadanganya watu wa ulimwengu kuwa watanzania ni wakarimu, wapenda amani, wacheshi, kupendana na mengine mengi ya sifa nzuri. Si kweli, watanzania wana roho mabaya...
2 Reactions
1 Replies
786 Views
Habari wanabodi; Kwanza kabisa mimi sio mkereketwa, mwanachama wala mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa.. Kama alivyosema Paskal kwenye uzi wake penye kukosoa tukosoe na penye kupongeza...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Ndani ya miaka miwili umasikini na shida zimeongezeka ila cha kufurahisha ni kitu kimoja hatuchekani tena Wanaolia shida ni wengi, hakuna kuchekana katika kufulia na cha muhimu awamu hii ya...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Nawashangaa wanaotumia vyombo vya habari na mitandao kusema kuwa Tanzania ya leo haina uhuru wa kusema. Hivi hawajui kuwa kuna nchi humu duniani ambazo zimepiga marufuku internet na vyombo vya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limemchagua kwa mara nyingine Jaji Mstaafu Thomas Mihayo kuwa Rais wake kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo. Jaji mstaafu Mihayo amekitetea kiti chake hicho...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Yaani mpaka leo hamjashitukia kuwa CCM wanatumia kick na mgongo wangu ili kujiimarisha, ninyi mnachekesha kabisa. Siku mkishituka maandiko yangu ndio wanatumia Serikali ya CCM, mtanipigia magoti...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Miezi kadhaa iliyopita makamanda walitaka kumwaminisha kila aliyekuwa tayari kuwasikiliza kuwa eti kuna baa la njaa nchini. Wengine tulihoji kama kweli kulikuwepo na hilo baa la njaa lakini...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu amesema Mabasi 11 yamefungiwa kutoa huduma ya kusafirisha abiria kwa makosa ya mwendo kasi. Mabasi hayo ya kampuni tofauti wamiliki...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Salaam wakuu! Madereva watakuwa wanajua hii tabia ya trafik kukaa machakani na kuvizia magari yanayokwenda speed zaidi ya ile 50km kwa saa. Askari wengi wamekuwa wakivaa kiraia na kukaa machakani...
21 Reactions
125 Replies
17K Views
Arusha — TANZANIA is set to garner its own unique global record in coming up with what could turn up the 'world's largest human history museum' built right on the archaeological discovery sites...
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Back
Top Bottom