Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu poleni na majukumu mbalimbali. kwanza kabisa niombe radhi kwa kuwasumbua kuuliza swali hili tena, kwani imenilazimu kufanya hivo kwasababu zamani kidogo tuliwahi kulijadili ila lilikuwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
FAHAMU YALIYOJIRI ZIARA YA DC HAPI KINONDONI LEO TAR 28/9/2017 BUNJU A BARABARANI *Mkuu wa wilaya alisimama kuzungumza na wafanyabiashara wa barabarani ambapo waliomba eneo/nafasi sokoni ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
RUFAA YA JAMHURI DHIDI YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA YAUNGURUMA MAHAKAMA KUU LEO TAREHE 28.9.2017 Jaji Mkasimongwa leo amesikiliza shauri la rufaa ya Jamhuri dhidi ya ushindi wa Sheikh Ponda Issa...
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Hichi chuo ni cha serikali kweli? Chuo gani cha serikali kinawalipisha wanafunzi ada kubwa hivi? Mfano Certificate wanalipa ada tu ni 690000+330000 hostel Hapo chakula unajitegemea na vitu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu DSTV imeshakua Kimeo na Nahitaji Kuhamia Sehemu nyingine hivi hakuna Mbadala wa Visimbuzi kwa Sisi Tunaependa Mpira? Yaani Juzi tuu Nimelipia sh.109,000 Jana Nimetafuta Mpira kombe la EFL...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Kuna mtu ana taarifa yoyote ya matumizi ya bangi kwa kabila hi la wahazabe? Nimekuwa nikiwasikia kabila hilo linalopatika mikoa ya Singida na Manyara na wanaokaa porini wamekuwa wakiishi kwa kula...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu salam kwenu, Niende moja kwa moja kwenye kutoa kero yangu Kwa wale wenyeji/wakazi wa Jiji la mwanza hasa wanaotumia hii barabara ya kutokea mjini kwenda Nyegezi na hata Nyegezi kurudi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arusha, nyumba za line polisi, zinawaka mda huu, chanzo bado hakijajulikana. Moto huo bado unasambaa kwa kasi ya ajabu. Taarifa mbaya zinaeleza kwamba nyumba (Kota) za askari wa Central...
8 Reactions
240 Replies
31K Views
Watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia msikiti mkuu wa Igunga mjini, Mkoa wa Tabora na kumjeruhi mlinzi kisha kupora baadhi ya vitu vikiwemo vitabu vya dini ya kiislaam. Mlinzi...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Kanuni za kusimamia Maudhui ya Mtandaoni zinasema kwamba: 1. Kuanzia saa 11 asubuhi hadi 3 usiku, hakuna kurusha maudhui ya nje, iwe muziki au habari. 2. Katika Kanuni mpya, Kituo cha habari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutoka Dar to Mbeya Ticket Tsh ngapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu wanabodi. Hili Tangzo la Coke linashusha utu wa mwanaume na ni thihaka kwa mwanaume.... Mwanaume hazumzi kwa vitendo.. Mwanaume haogopi kueleza hisia zake. Mfano: 1. Lile...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Greetings my brothers and sisters. With the on going nuclear weapon trials from North Korea and the response from the president of USA, Hon. Donald Trump, a question came to my mind as to what...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu yangu, Ni ukweli usiopingika, kwa sasa mambo yamebadilika sana kuanzia mambo ya kijamii, kisiasa mpaka mambo ya kiuchumi. Sasa leo naenda kuongea na wale vijana wenzangu ambao wako...
60 Reactions
148 Replies
16K Views
Mikoa minne imetajwa kuwa kinara katika mimba za utotoni hali inayoonyesha bado kuna tatizo. Ofisa maendeleo ya jamii wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Sophia Swai amesema hayo alipozungumzia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za mapumziko ya Jumapili Kama kichwa kinavyojieleza mwenzetu, rafiki, shost demi amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro mjini! Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana...
20 Reactions
258 Replies
14K Views
Mara nyingi inatokea mtu amemaliza kidato cha nne au cha sita na uwezo wa kusoma kozi yoyote au mchepuo wowote anaotaka yeye kutokana na ufaulu wake, Lakin tu mzazi hasa kwa kua amekalili kazi ni...
1 Reactions
3 Replies
923 Views
Nina wasiwasi kuwa ukikubali kuwa huwezi ku-make tena duniani kwa kukubali kuwa mambo ni magumu sana au sina mtaji na visingizio vingi. Na baada ya hapo ukaweka matumaini yote huko mbinguni kwa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mtanzania yoyote aliyezaliwa na kukulia KLM bila hata ya kujijua anaifagilia Kenya na hasa Mji wa Nairobi, na hii ni kwa sababu za kihistoria, Mchaga au mwenyeji wa KLM analelewa hivyo, ukitaka...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Kitengo cha watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kimezindua mwongozo wa kutoa huduma kwa watoto wachanga wenye umri kuanzia siku 0 hadi 28. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom