Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu ni uzalendo tu wa Mheshimiwa na Nchi yake au??
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Technicians wa UTUMISHI portal watusaidie kukamilisha system ili iruhusu watumishi kuomba kubadilishana vituo vya kazi kupitia kwenye mfumo maana mpaka sasa kipengele cha kubadilishana vituo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imesema mkoa wa Arusha unatarajiwa kuwa na mvua kubwa ambazo zitasababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo. Mvua hizo za vuli zinatarajiwa kuanza kunyesha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mara baada ya kufungiwa jana Gazeti la Raia Mwema kwa Siku 90 niliweza kufuatilia mijadala mbalimbali ya Wadau na Watanzania wa kawaida tu ambapo mwishowe nikaja kugundua kwamba kumbe nchin...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
"SUKARI INA KUSANYWA PALE" Hilo ni moja ya bango nililolikuta bwenini siku ya kwanza kufika, huku jamaa mmoja akinisihi kuhakikisha nakusanya sukari kabla ya mkaguzi hajapita, wakati nikitafakari...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Hello JF, Nilikua nauliza kuhusu walimu wa kujitolea, Ningependa kuona tunaspend weekend kwa kusoma:cool::cool: nilikua napendekeza,shule za msingi na secondary day zitumike kufundisha watu...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
L & I FLIGHTS. L & I flights limited provide you the best Unbeatable rates across the world. Save Up to 60% on your next Flight! Premium-Economy Deals. 24/7 Customer Service. Extensive Offerings...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Jana usiku nilitoka na mshikaji wangu kwenda kupata moja moto moja baridi kwenye baa moja kitaani!Tulikaa kwenye meza ambayo ilikuwa na takribani viti vitano,tuliagiza kinywaji tukaanza kunywa kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu.... Natafuta mtu au watu walio apply Scholarship ya Mwalimu Nyerere ya BoT mwaka huu 2017. Yeyote aliye apply for Undergraduate or Postgraduate....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli huu mradi mmi sielewi tena unaniboa unakuta mabasi yanaongozana hayana abiria huku maeneo mingine abiria wakigombea gar moja huu utratibu inanifanya nishindwe kutumia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu hivi mfano mimi nilikuwa nafanya research yangu tangu nipo nasoma sekondari na nimekuja kukamilisha katika ngazi ya chuo mwaka wa kwanza na nikaiwasilisha na ikapitishwa je naweza kutunukiwa...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari za kazi wapendwa L and I flights limited ni kampuni / wakala wa usafirishaji kwa njia ya anga tunatoa huduma zifuatazo Ukataji wa tiketi safari za ndani ya Tanzania kwa ndege zote bara na...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Tokea siku ya jana mpaka leo wayahudi na waislamu duniani kote wameshiriki ibada ya kufunga mtume wao mussa . Ibada hii maarufu huitwa au siku hii huitwa yom Kippur kwa wayahudi na Ashura day kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mie mkazi wa mkoani Umeme wa buku huku unapata unit 8 wa jero unakuna unit 4 yani kwa mwezi umeme wa 3000 tu hapo frij inapiga kazi ita ya maji inakula mzigo mzik full time... Nakumbuka nilipo...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Vyanzo ajari za barabarani ni vingi sana, kuna uzembe, gari bovu, ulevi, ukosefu wa alama barabarani, ubovu Wa barabara, mashimo, matuta yasiyo rasmi barabarani n.k Ukitembea barabara karibu zote...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumaini wengi wetu ni wazima wa afya na waliowagonjwa tuzidi kuwaombea kwa Mungu atawafanyia wapesi. Leo ni Ijumaa kwa sisi waislam twendeni Masjid kumwabudu Allah. Nipo safarini kwenda vocation...
13 Reactions
63 Replies
13K Views
Kuuwawa kwa Ndugu Ali Suleimani, Katibu wa Habari na Uenezi CUF, Wilaya ya Magharibi ni tukio lingine la kulaaniwa vikali. Kukalia kimya matukio ya namna hii ni kukaribisha siasa ya damu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Haiwezekani dirisha la dawa inachukua mpaka lisaa mgonjwa hajapewa dawa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu Mardi WA mabasi yaendayo kasi bado una changamoto nyingi Sana. Unaweza ukafika kituoni ukasubiri basi kwa muda WA nusu saa nzima na wakati kwa nchi nyingine kila baada ya dk 5 basi linakuja...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete JKCI inahitaji eneo kubwa zaidi ili kukidhi idadi ya wagonjwa wanaofika hapo kuhitaji huduma, huku pia vitanda vikiwa havitoshi Hayo yamesemwa nadakatari bingwa...
0 Reactions
8 Replies
986 Views
Back
Top Bottom