Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Naeleza hisia zangu kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni
Uzi huu hauna chembechembe yoyote ya uchochezi
Mimi ni miongozi mwa watanzania niliezaliwa enzi za utawala wa awamu ya pili
Kwa kumbukumbu zangu tawala zote kuanzia ya 2 mpaka ya 4 watanzania tuliishi vizuri kwa
Sasa tangu aingie magufuli awamu ya 5 ni Shida tupu
Hali ni mbaya kila sekta sasa huu utawala bora ufeli wananchi tupate fundisho na tuache kuchagua chagua watu wasio na fani ya uongozi .
Mwafwaaaa
NB: Mods msiunganishe huu Uzi

- Amani na upendo
- Pesa ilikuwepo
- Huduma za kijamii zilkwenda vizuri
- Wanafunzi wa vyuo walipata mkopo
- Usalama wa raia na Mali zao
- hakukua na masuala ya kutekana,kupigana risasi wananchi tuliishi kwa raha
- Uhuru wa kutoa maoni ulikuwepo ,masuala ya uchochezi hayakuwepo
Sasa tangu aingie magufuli awamu ya 5 ni Shida tupu
- Vijana kawanyima ajira
- Bidhaa za vyakula zimepanda bei sukari kaikuta inauza 1800 yeye kaipaisha hadi kilo kuanzia 2500 mpaka 5000
- Uhuru wa kutoa maoni saa hivi haupo ukiongea ukweli unaitwa mchochezi unakamatwa na kufunguliwa mashtaka
- wanafunzi wa vyuo vikuu wengi hawapati mkopo japo ni watoto wa maskini
- Hela mtaani imekua ngumu kama bikra kwa changudoa
Hali ni mbaya kila sekta sasa huu utawala bora ufeli wananchi tupate fundisho na tuache kuchagua chagua watu wasio na fani ya uongozi .
Mwafwaaaa
NB: Mods msiunganishe huu Uzi