simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Hizi sheria za UN zipitiwe upya, maana kuna wanajeshi wetu wanaenda kulinda amani katika nchi zenye machafuko kwa kutumia peacekeeping wengi wao hula ambush na kufa.
Peacekeeper wengi hawaruhusiwi kuanzisha mashambulizi, na hata anapofanya peacekeeping hatakiwi kutembea huku kanyoosha silaha, silaha ilale kwa chini wakidai ni ishara ya amani. Hata kama watamuona gaidi akipita karibu yenu hatakiwi kumgusa labda awaanze.
Utakuta gari limebeba Peacekeeper na njia wanayopita ina wahasi lakini kwa vile hawatakiwi kuanzisha mashambulizi inabidi watulie hadi waanzwe, kipindi wanajibu mashambulizi utakuta Peacekeepers wengi washajeruhiwa na kufa.
Mwaka 2013 Peacekeepers wa Tanzania saba waliuliwa Darfur walipokuwa wakifanya mission zao. Hatua hii ilipelekea hadi msemaji wa JWTZ Kanali Kapambala Mgawe kuhoji hizi sheria zapeacekeeping zilivyokuwa gandamizi kwa walinda amani.