Nawashangaa wanaotumia vyombo vya habari na mitandao kusema kuwa Tanzania ya leo haina uhuru wa kusema. Hivi hawajui kuwa kuna nchi humu duniani ambazo zimepiga marufuku internet na vyombo vya habari ni vya serikali peke yake?
Uhuru wa kusema upo Tanzania. Uhuru wa cha kusema haupo katika utawala wowote duniani. Busara ikitumika katika uhuru wa kusema songombingo linaloendelea hivi sasa Tanzania litaisha.