Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna viumbe wameanza kucheza na kazi za uwakili, juzi jamaa kanunua eneo na katika mauziano akamwagiza dalali amtafute Wakili na huyo dalali akamleta MTU aliyejitambulisha kuwa wakili na...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo nimezuru Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Lumumba, Nimekabidhi nakala tatu za kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi", vitabu hivyo viwe maalumu kwa Mwenyekiti wa Chama...
11 Reactions
109 Replies
15K Views
Kuna clip inasambaa jamaa anamzubaisha Mama wa watu Atm na kujifanya kumsaidia kumbe anamuibia,nimeona comment mahali nikaone bora nishee Na swali la kuijiuliza kama wahusika huwa wana monitor...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Kumekua na malalamiko ya muda mrefu wa traffic hususani wa Arusha, kubambikia watu makosa ya uongo, na kudai pesa lwa nguvu,na mara nyingine kutumia lugha zisizo na staha kwa wananchi, ina maana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wizara ya afya na ustawi wa jamii na/au kamati ya afya mkoa/wilaya ya Mbeya imulikeni hospitali ya Ks iliyoko maeneo ya Mafiati. Hospitali hii licha ya kutulipa watumishi wake mishahara duni ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Inaeleweka kwamba dereva wa KUB ni mtumishi wa Serikali na anapokuwa nje ya kituo chake cha kazi kikazi anastahili kulipwa posho ya safari. Juzi dereva huyu alikuwa jijini Nairobi akiwa na boss...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Daudi aliweza kurusha jiwe na kumpiga Goliath pande la mtu kwa sababu alikuwa akirusha mawe toka zamani alipokuwa akichunga mbuzi na kondoo huko malishoni. Niligundua kupitia Daud kwamba unaweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TANGULIA MH CHIPAKA RAIS WA TADEA HISTORIA IMEKUANDIKA (R.I.P)KAMANDA. Nakumbuka pale ulipo niambia nyinyi vijana wa sasa acheni uoga nchi haikombolewi kwa kelele bali kwa vitendo hapa ngoja...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
wadau jf,naombeni wenye softcopy ya vitabu vya waandishi hawa anisaidie Brian Tracy na Zig Ziglar Natanguliza shukrani, Mwitu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtu alie katika 'North pole', akiulizwa juu ni wapi basi ataonyesha uelekeo wa kichwa chake, akiulizwa chini ni wapi ataonyesha uelekeo wa miguu yake. Lakini mtu alie 'south pole' akiulizwa juu ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. kutokana na idadi kubwa ya watu kila kukicha kufungua blog kila mmoja pasipo mpango ,ningependa blog zisajiliwe na hata kama ikibidi zitozwe kodi. zile blog...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Sitashangaa watanzania wakirudia tena kuchagua mtu aliyewadanganya kwenye kampen kwamba atawaletea chakula na sasa hivi anawaambia, hizo zilikuwa porojo za kampen tu... Kuchagua yule aliyewaambia...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na mkumbo wa hii michezo ya jackpot kama Biko na Tatu mzuka ghafla tu na inachukua umaarufu tu. Napenda kujuzwa je ni nani waratibu au wamiliki wa hii michezo na kwanini imekuja awamu...
3 Reactions
43 Replies
10K Views
Kuna mambo mengine ukiyasikia halafu hasa sehemu yanapoanyika unaweza ukastaajabu sana kwani hayaendani na hadhi husika za maeneo hayo. katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Madereva wengi wa...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Ile kampuni inayoshikilia ndege ya taifa teule LA Tanzania sasa na yenyewe kupata maumivu baada ya kuwa na mgongano wa kibiashara na marekani ambapo idadi kubwa ya ajira kupotea.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habari za humu ndani, Kuna mama mmoja mtu mzima nimepanga nyumba yake hapa Mbeya. Sasa Mama kaniona kama nimesoma kidogo na yeye ni Mkunga-Nesi na amefanya kazi kwa miaka mingi, amebakiza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lupulin ni formula ya pombe inayopatikana katika shayiri (hops) , ambayo inatumika katika pombe . kile kiuchungu unachokisikia katika beer zote au pombe lupulin ndiyo chanzo. Ule uchungu wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Rungu,Sime, kisu na fimbo kufanywa kama sehemu ya vazi mahala ambapo havihitajiki sio salama. hata kama ni mila ziendane na mazingira. Masai anasuka wakina mama sime ya nini tena. Masai anauza...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom