Mbowe na Mbatia msiwe kama viongozi majuha

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,401
Yaani mpaka leo hamjashitukia kuwa CCM wanatumia kick na mgongo wangu ili kujiimarisha, ninyi mnachekesha kabisa. Siku mkishituka maandiko yangu ndio wanatumia Serikali ya CCM, mtanipigia magoti na kujilaumu sana. Nawashangaa mmefata mkumbo wa kupotosha bila kujua mnajimaliza. haya shauri yenu. Mimi nimewekewa Jeshi ili ukweli usijulikane, nawaambieni Mtanikumbuka.

DEOGRATIUS NALIMI KISAND
 
T

umeandika utumbo wa mbuz
 
Juha mwenyewe, huu ni ukosefu wa adabu kwa viongozi wetu
 
Network searching........oooops....server time out.....cant connect...retry
 
Alichokiandika Kisandu kinafanana na wanavyoviandika watu wengi humu ila tu kwa sababu ni Kisandu ndiyo itaonekana upuuzi.

Yani unakuta mtu anakuja kupendekeza majina ya kuiita siku aliyopigwa shaba Tundu Lissu,sasa mtu huyu na Kisandu wanatofauti gani?
 
Ngoja nile makande kwanza nitarudi, labda hii njaa ndo imenifanya nisikuelewe mkuu.
 
Mi huyu jamaa hata huwa simuelewi sijui huwa anatumia ngeli gani?😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom