Kifo cha wengi harusi

Kifo cha wengi harusi

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,014
Ndani ya miaka miwili umasikini na shida zimeongezeka ila cha kufurahisha ni kitu kimoja hatuchekani tena

Wanaolia shida ni wengi, hakuna kuchekana katika kufulia na cha muhimu awamu hii ya wanyonge inazidi kuongeza mafukara a.k.a wanyonge maana hakuna namna tena,we unadhani kuna maana gani serikali ijiite ya wanyonge halfu iwe inatawala matajiri?

Kamua baba kamuuuua na hao wachache waliobaki wanakula raha wachukuliwe hatua na sisi wanyonge tutaunga mkono mpaka nao wafilisike.
 
Nimesoma mkuu biashara nyingi zimekufa si mchezo
 
33dedb0c49eb9fa811f290734b0d9c39.jpg


Huyu jambazi anausika na kupigwa Kwa lissu


Swissme
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom