zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
Habari za majukumu wandugu?
Nategemea kumjengea bibi yangu kaburi mwisho wa mwezi huu, naomba msaada wa maneno mazuri ya kuandika katika msalaba(hii ya kisasa kipande cha jiwe). Ahsanteni kwa msaada