Habari za asubuhi wakuu.
Ni hivi.nimesikitishwa sana na uendeshaji mmbovu wa gari STL 2071 aina ya Rav 4.
Sijajua kilichokuwa kinamsibu huyo dereva .Ilikuwa leo 09.10.2017 asubuhi ya saa 12:05...
Kwa kuwa sheria ya uraia wan chi mbili haijapitishwa hapa Tanzania, je watu ambao walijipenyeza na kujifanya watanzania Taifa likawasomesha kwa gharama kubwa, baadae wakafanikiwa kushika nyazifa...
Institution of Engineers Tanzania (IET) wanafanya sherehe ya kutimiza miaka 40 toka kuanzishwa. Kwa namna yoyote ile, miaka 40 si haba. Wamepitia mengi ya kujifunza na kufundisha pale...
Hebu tujikumbushe ni ndoto gani/zipi tulizowahi kuota ambazo hazikuwa nzuri kiasi kwamba tulivoshtuka toka kwenye hizo ndoto tulishukuru sana kuwa afadhali zile ni ndoto tu sio uhalisia
Kwa...
Viongozi wa dini wana jukumu kubwa la kuleta amani ,na utulivu duniani.viongozi wa dini wana uwrzo wa kuzuia uhalifu,na hata kukomesha kabisa ,lakini kama itakuwa kinyume,basi chuki inaweza...
Kuna swali huwa najiuliza hivi ni kwanini wazungu wengi wakipata hela sio malimbukeni kama sisi Wafrika. Kwa waafrika uvaaji wetu, mahusiano na wasio nacho unakuwa tofauti sana na wazungu kwani...
Sasa hivi watu tumeanza kujikita kuongea tu juu ya viongozi wetu na kujisahau kuwa tuna jukumu la kufanya kazi kujenga nchi kwa vizazi vijavyo.
Nguvu kazi ni sisi
Unaenda kuosha gari halafu unamkabidhi ufunguo muoshaji na wewe unakaa bar au pub kunywa pombe ama kucheza pool table ama kuwa busy na ligi maarufu sana.
Gari iko full na documents muhimu na...
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Igunga, mkoani Tabora, Ramadhani Hassan (15), mkazi wa Mtaa wa Nkokoto, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo alipokuwa...
Wanabodi.
Hapa jukwaani tunaeleza mazingira ya biashara yalivyo magumu, sera za nchi hii zimekua za sitofahamu, wawekezaji wakaondoa mitaji mkasema wapiga dili, sasa mzunguko hakuna wa fedha watu...
ONGEZEKO LA WATU (9) TISA KWENYE UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI ,
kutoka kwa Mchambuzi Malisa GJ anasema katika moja ya andiko lake kuhusu alichobaini kwenye uteuzi wa baraza jipya la Mwaziri...
Teknolojia tunaenda na wakati ulimwengu huu wa dijitali kila mtu ni mwana habari pia kuna majukwaa "forums" huru, kama hili tulilopo ambalo mtu yoyote anaweza kupost chochote na mtu mwingine...
Naomba leo nifunguke ukweli baada na kukutana na hii changamoto ya watoto wa shule.
Kusema ukweli mimi ninashindwa kuelewa ni kwanini hawa watoto wa shule wameamua kufanya hii Tabia.
Ukiangalia...
Naona majeshi yetu yameanza kupata kazi za ujenzi uraiani kutokana na kauli ya Rais kuwa Wanajeshi ni waaminifu na wakipewa kazi wanaofanya bila kuwa na mizengwe yoyote na kumaliza miradi kwa...
Yaani kutoka Trillion 1.2 Jan.2016 hadi Billion 600 mwezi August na Julai 2017_
Nimesoma ujumbe wa Zitto kuhusu taarifa ya uchumi na makusanyo ya mapato ya serikali katika kipindi cha miezi ya...
JUKWAA la Wahariri nchini limetangaza kumfungulia rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika baada ya kutoandika habari zinazomhusu kwa kipindi cha miezi mitatu.
Uamuzi huo wa...
mkuchika,nmekuona unalalama walimu wamekimbia makazini na umewapa onyo warudishe hela za kujikimu haraka sana,sasa embu wambie waliokula hela za EPA warudishe kwanza ndo walimu nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.