ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,014
Alipoanza kazi takribani siku 600 zilizopita mkurugenzi huyu alileta matuamaini na amshaamsha ofisini kila mtu akawa optimistic kwamba mambo mazuri na maslahi zaidi yanakuja.
Akatuhimiza tuchape kazi kwa bidii kuendeleza kampuni na maneno yangu yalituingia hadi ku moyo,we trusted him.
Ikaja issue kwa mujibu wa sheria kwamba yeye pia ndiye awe supervisor mkuu,yakatokea maneno kwamba hataki cheo hicho kwa sababu ukurugenzi unamtosha ili asongeshe mbele gurudumu la kampuni,mara paaap kikaitishwa kikao jamaa akapewa na usupervisor mkuu,ni balaa maana kabadilika aisee kampuni anaiburuza kwelikweli,morale imeshuka na kila siku anatusimanga hapa ofisini kwamba ni wavivu hatujafanya chochote kwenye kampuni yetu ndiyo maana amekuta uvundo ila ndani ya siku 600 kwa madai yake ni kwamba ametatua matatizo mengi ya kampuni na kuhusu suala la maslahi kasema uzalishaji wtu na utendaji hauridhishi hivyo haongezi
Yaani tumepigwa na butwaa tunajiuliza ni yule mkurugenzi tuliyemuamini wakati anakabidhiwa shirika au ni mzimu wake?
We are stressed jamani,mtuombee maana tunakuwa vichaa hali ya uchumi hapa shirikani ni mbaya tukilakamika tunajibiwa kwa kejeli na yeye mkurugenzi plus wapambe wake ambao hunusa huku na kule kutafuta umbeya wa kupeleka ngazi za juu.