Hujaelewa nini chief zuma?Huja eleweka vema mkuu
..a. Falme za waarabu zimejiimarisha kiuchumi na .. Sasa tunajengewa ... nyumba kubwa ya Ibada. Takbiiiir
Unataka kusema kuwa mswati hajajiimarisha kiuchumi?FYI, mswati ana stake kubwa sana kwenye telecom industry ya Swazi, Lesotho na saTofauti na falme vumbi Kusini mwa Afrika. Falme za waarabu zimejiimarisha kiuchumi na tunajivunia Ufalme wa hawa ndugu zetu wa damu Morocco. Sasa tunajengewa uwanja na nyumba kubwa ya Ibada. Takbiiiir
Allahu AkbarTofauti na falme vumbi Kusini mwa Afrika. Falme za waarabu zimejiimarisha kiuchumi na tunajivunia Ufalme wa hawa ndugu zetu wa damu Morocco. Sasa tunajengewa uwanja na nyumba kubwa ya Ibada. Takbiiiir
Napenda sana huu upande sema vikwazo vidogo tu kabla ya kufa lazima niwe hukoAllahu Akbar
Na ndiyo lebgo la mleta Uzi,watu wakashifiane hapa...Na utageuka kuwa wa Dini!
Sasa mkuu mbona mchokozi mpaka useme " takbiiir "Tofauti na falme vumbi Kusini mwa Afrika. Falme za waarabu zimejiimarisha kiuchumi na tunajivunia Ufalme wa hawa ndugu zetu wa damu Morocco. Sasa tunajengewa uwanja na nyumba kubwa ya Ibada. Takbiiiir
Vikwazo gani tukusaidie kutatua?Napenda sana huu upande sema vikwazo vidogo tu kabla ya kufa lazima niwe huko
Mwanzilishi wa mada ni Sheikh Andreak.Ujenzi wa hiyo nyumba ya ibada una mchango wowote kwenye uchumi wa taifa? Before hamkuwa na sehemu ya kuswalia?? Angejenga hospitali angekuwa kafanya la maana zaidi
Jiwe gizani. Ukweli mtupuMTOA POST UMEDHIHIRISHA UPANDE HUO MLIVYO WAPUMBAVU.