Video: Dada akunjana na konda kwenye basi

Video: Dada akunjana na konda kwenye basi

Dah nimeshafanya sana haya matukio na makonda hawa hadi kufikishana polisi
 
hahahaha kuna konda mmoja alikuwa akiniona hasimamishi gari, hapa ni baada ya kumpa buku iliyochakaa na akagoma kurudisha chenji.

nikamvizia siku tukapanda wa 4 nikashukua nauli za wote kwamba nitalipa, ile mwisho wa safari nikamoumbusha buku langu alilonidhurumu.

toka hapo akiniona hasimamishi gari....ilikuwa dodoma iyo nkuhungu chama kwenda town
 
Hahaha.. konda wa nkuhungu huku wanazingua mi nawekaga wa mbuzi nakaza nilipe Mara mbili auu.. kumbe sijatoa kabisa.. ila siku yangu IPO tuu
 
Ananikumbusha kipindi hiko dent aisee na makondakta
 
Kupigana ni hatari unaweza kupata kilema hata cha kuwa chongo!
 
2004 kuna tukio kama hili lilitutokea, tulimpiga konda na dereva wake halafu tukachukua funguo wa gari.
Abiria walikuja kutuomba funguo[emoji3][emoji3]
 
Dada kakunjwa unasema kamkunja konda toa taarifa kama ilivyo
 
Dada kakunjwa unasema kamkunja konda toa taarifa kama ilivyo
Hata mimi nashanga mkuu hii video huyo dada mimi naona ndio kakunjwa na kama sikosei na matusi juu kaambulia ila kichwa cha habari cha hiyo video haiakisi yaliyomo.
 
Back
Top Bottom