We nae kutujazia sredi tu, kwani we hujui ni vilaza kwasababu walifeli form IVNi muda mrefu sasa nimefanya utafiti na kugundua kuwa walimu wa sekondari ya kwiro hawana sifa za kufundisha kwani wengi hawajui kufundisha hasa wa masomo ya science na uchumi. Tunaomba serikali iliangalie hili tatizo.