Mawaziri na mikakati vitisho-will they WORK?

Mawaziri na mikakati vitisho-will they WORK?

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Nimemsikiliza Kange Lugola akisema wanaokata miti ovyo au wanaoharibu mazingira wajiandae, Kigwangala naye anatumia mtindo huo huo kama gia ya kuingia Maliaasili.
Maneno kama haya NI mikakati vitisho ambayo ni very short lived na ni obvious iko destined to failure .

Ningetegemea wa learn along the parth ya former ministers wajue waliweza wapi na walishindwa wapi na reasons za ku shindwa au kufanikiwa. From there wa device mikakati endelevu na itakayozaa matunda. Huiwezekani umeapishwa baada ya dakika 15 unajua kila kitu na kutoa matamko mepesi kutatua mambo makubwa ya kiwizara. Kuapishwa siyo kupewa upako wa Roho Mtakatifu useme sasa nguvu za Mungu zimeshuka na you know every thing soon baada ya kuapishwa.
Najua watasema tunawafundisha kazi na kwamba tuwaache wafanye kazi, fine ila naamini kiongozi mzuri na ambaye anataka kufanikiwa lazima ajifunze kwa kusikiliza zaidi kuliko kutoa "matamko vitisho"

Sio kwamba hawa mawaziri hawawezi ila inabidi kabla ya kutoa tamko wajue chanzo cha tatizo kwa kuki study( hapa simaanishi research No ila huwezi ingia kwenye gari jipya bila kujifunza mpangilio wa gia na operesheni nyingine ili ukianza kuendesha upunguze wingi wa makosa).

Nawashauri mawaziri wapya na wale waliopewa Wizara Mpya waaanze kwa kuweka mikakati endelevu itakayo leta matokeo na wawe na malengo na siyo kuongea ongea tu wakati hata kukabidhiwa ofisi bado. Kuanza kuongea kwa vitisho ni dalili za kufanya kazi kwa hofu, kukosa confidence na kuonyesha high level of incompetence. Mikakati vitisho dalili za failure na hatutaki wafike huko.

Ni matarajio yangu kuwa watafanya vizuri kuliko walioondolewa au vizuri zaidi kuliko walivyokuwa wanafanya
 
Wafanye kazi kwa weledi la sivyo watafeli sana
 
Kange Lugola wa mwibara anaweza kufanikisha maana alikuwa NJAGU huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom