Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,355
- 26,515
Hizi taa huku kwetu Mbezi , ziko ndani ya road shoulder , na kwa walivyo madereva wa malori ya vifusi na daladala , taa hizi nazihurumia.
Huku kwetu madereva wa malori na daladala hawazipendi, wanagongana ovyo na kugonga road furniture kila kukicha.Zitapotea kwa maana ipi?
Kwa kuibiwa au kuharibiwa?
Kuna barabara moja ya kuelekea Sumbawanga wananchi wamekabidhiwa alama za barabarani kwamba ni jukumu lao kulinda. Zikipotea Watawajibishwa.
Wazo zuri sana.ni bora zitegeshwe kwa hewa halafu huo mlingoti uwe mbali na barabara
Sasa ndugu wewe muuza kwenye toroli utarekebisha nn hapo?KUNA VITU VIDOGO VIDOGO AMBAVYO HATA SISI WAZALENDO TUNAOKAA MTAA HUO TUNAWEZA REKEBISHA.SIO LAZIMA WAJE TANROADS
Procurement officer hapo anafurahije! 10% ya taa mpya yajaGazeti la jana kuna picha tayari taa zisha lazwa chini
Kwa gharama za nani..?? Na ni level ipi ya uzalendo inayohitajika ili kuhamisha taa tena bila hela...?? Ni hii ya kusemwa semwa kwenye majukwaa ya kisiasa au..???KUNA VITU VIDOGO VIDOGO AMBAVYO HATA SISI WAZALENDO TUNAOKAA MTAA HUO TUNAWEZA REKEBISHA.SIO LAZIMA WAJE TANROADS
Ilitakiwa ile barabara iwe na interchange na flyover kama tano hivi na madaraja au mahandaki ya kuvukia barabara, barabara ina space walishindwa nini kujenga madaraja simpe tu. Gari zingekuwa zinaenda bila shida ya kusimama kwenye taa.. na ajali zingepungua..Bara bara ya Mwenge Tegeta ilikuwa machinjio, ila kwa sasa nayo mataa yamezidi na kusababisha foleni. Nadhani hii bara bara haijapatiwa 'optimal solution' ili kumaximize its usage and efficiency...