Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Wakuu, kanisa Katoliki lina vyombo vyake vya habari hivo kupitia huko waanzishe mafunzo ya kuielewa lugha ya Kilatini. Nakumbuka wazee wetu walikuwa wakisali kwa lugha hiyo japo maana ya maneno ilikuwa ikiwasumbua lakini takriban 2/3 walifahamu maana yake. Vijana na watoto sasa hawafahamu lugha hii licha ya kanisa kuitumia mara kwa mara.