Ujenzi ukisiliza watu ujengi

Ujenzi ukisiliza watu ujengi

mabwana

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
307
Reaction score
318
Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho
Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m
Ukitaka kujenga wacha kusikiliza watu awana cha kufanya zaidi ya kuvunja watu nguvu tafuteni kitu cha kufanya
 
Ukiskiliza watu sana kwenye ujenzi hujengi, binafsi niliambiwa hivyo hivyo, kiwanja kilikuwa m25 = ft 80 lakini upana wa ft50 na urefu wa ft40 nimejenga nyumba ya vyumba vi4 ambapo vitatu ni master, jiko, dinning na sebule ya kiasi cha ft 20 kwa 16
 
Humu kwa kweli watu wengi ushauri wao huwa wa kukurupuka au ili tuu aonekane na yy amecomment. Kwanini usimshauri mtu positively napenda watu wengine wasiojua kitu kinachoongelewa wanajisema zao "Napita tuu". Hongera sana kaka
 
Sioni ajabu,kuna suti zinafika bei hadi laki 6 hadi milioni 2 zipo zinauzwa,lakini waweza shonesha kwa fundi suti ya sh elf 80 tu na ukivaa hata harusini. ukifuatilia kwa makini hapo kuna suti bora,na bora suti. hata kwenye ujenzi ni hivyo hivyo. walikupigia gharama za mbao za treated wewe umetumia mbao za kawaida baada ya 4 years yinatoa unga,walikupigia gharama za mabati ya migongo mipana umetumia kuezeka ya kawaida 4 years tena kutu kibao na kadhalika.
 
Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho
Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m
Ukitaka kujenga wacha kusikiliza watu awana cha kufanya zaidi ya kuvunja watu nguvu tafuteni kitu cha kufanya
Safi sana. Hongera kwa kusimamia Mawazo yako.

Walitaka uendelee kupanga
 
Wahenga walisema miluzi mingi hupoteza mbwa...
Sio kujenga tu ila jambo lolote kwenye maisha ukitaka kulifanya usisikilize watu wanasema nini, wanaweza kukukatisha tamaa.
 
hongera kwa kujenga ! nadhan mikoani kujenga ni cheap zaid ! ila sin hamu na ujenzi !had unaingia kwako umeona rangi zooote !kitu kidg tu aghali mnoo !ah had inaumiza sana yaan
 
Tatizo yule anayeshauri yeye mwenyewe hajajenga na wala hajasomea kuwa valuer wa ujenzi... Sasa woga wake aliojijengea anataka awajengee woga wenzake..... Ukisoma kitabu cha mithali anasema,... "Usiombe ushauri kwa mtu mwoga kwenda kupigana vita"...
 
Kweli kabisa mkuu minakumbuka nyumba yangu ya kwanza nilijenga nikiwa na 20yrs nanilikua nikionekana bwana mdogo sana kulingana na umbo nililokua nalo nilikatishwa tamaa na majirani mpaka mafundi wakiniambia napoteza muda tu lakini chaajabu ndani ya miaka miwili wakashangaa nyumba imekamilika na maisha yakasonga
 
Back
Top Bottom