Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari waungwana! Naomba kuuliza "hivi usajili wa hii bahati nasibu ya waliochoka kuishi nchini kwao kama mimi unaendeshwa na kampuni binafsi? Maana naona kila nikisajili mwishoni kaharufu cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafanikio ni kitendawili kinachoweza kutegulika,kama unafanya biashara fulani na unaona haikulipi fanya nyingine,kama unaishi mkoa fulani na mambo yanazidi kuwa magumu hamia mkoa mwingine,kama...
5 Reactions
5 Replies
895 Views
Siku hizi kumekuwa na wimbi la notice la kudai deni kutoka Majembe Action kwa niaba ya kampuni fulani na kutoa taarifa za siku kumi na nne ya kuja kukamata mali za mtu pasipokuwa na kibali cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia wahamiaji haramu 21 waliokuwa wakitokea nchini Ethiopia kuelekea Afrika Kusini kutafuta maisha kuingia nchini kinyume cha sheria na watanzania wawili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Suala la kutoa taarifa zinazohusiana na msiba wapo watu wanaojua kufikisha taarifa hizo ila watu wengi hawajui namna ya kumpa mtu taarifa za msiba. Kuna watu wanatoaga taarifa za msiba...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau kwema Leo nimeifurahia route ya kariakoo to kimara kwenye mwendokasi Sijasumbuka sana japo kaushamba karikuwepo uzuri mie ni mtu wa kujiongeza kwa sana na kusoma ramani imekaaje...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Nikiwa kama mzazi, nachukua nafasi hii kuwapongeza walimu wetu kwa jitihada zao wazifanyazo katika kuhakikisha watoto wanaenda secondary. Pamoja na changamoto nyingi walizonazo, lakini bado...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Mkoa wa Dares Salaam umeshika namba moja matokeo ya darasa la saba kitaifa. Hii ni baada ya juhudi na ubunifu wa mkuu wa mkoa Paul Makonda, mfano walimu kusafiri bure, ujenzi wa vyumba vya...
7 Reactions
66 Replies
9K Views
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya...
18 Reactions
63 Replies
8K Views
Napenda niwataarifu wakazi wa Mbeya kuhusu wizi wa mafuta kwa shell ya Infinity Mbeya ya mafiati, Nimejaza juzi mafuta ya tsh 50,000 kwenye gari yangu Benz ambayo inaonyesha km ntakazotembea hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa uchunguzi wangu niliofanya hapa na pale nimegundua kuwa mboga za majani zimekuwa dili Sana na ndio imekuwa mboga kuu kwa Watanzania siku hizi. Matumizi ya nyama, samaki na maziwa yamekuwa...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wadau. Kumezuka matangazo yasiokoma kwenye vituo karibia vyote vya redio kuhamisisha masuala ya kucheza kamali. Bila kuathiri dhima ya kujiendesha kibiashara lkn tabia redio kutumia...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimejaribu kufuatilia historia ya Majina ya Makampuni tajwa hapo juu nikaishia kuchanganyikiwa zaidi! Nadhani hapa ndipo penye "puzzle" kwetu sisi Watanzania na ndipo tunapochezewa kekundu! Moja...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
jamani wanajf wenzangu naombeni mwenye ufahamu na hata uzoefu na hili anifahamishe.HIVI NI KWELI BANGI INAWEZA KUMZUIA MCHAWI ASIINGIE NDANI KWAKO KUKUWANGIA?
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Habari ya leo wanajamvi. Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada. Nimekuwa napokea msg zaidi ya mbili kila siku iendayo kwa Mungu ambazo ni za kitapeli. Nimemtaka huyo anayenitumia aache...
1 Reactions
25 Replies
11K Views
Kati ya mambo yaliyowahi kutia fora enzi za ukoloni na historia ya kuanzishwa kwa koloni la Tanganyika, ni ile mikataba feki iliyotengenezwa na Karl Peters na kisha kusainiwa na machifu bila hata...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
SEHEMU YA KWANZA Wakati Angel anakimbilia kuwahi ndege, ghafla alijikwaa katika shimo dogo lililokuwa kwenye geti la kuingia uwanja wa ndege na hivyo kusababisha kuumia kifundo cha mguu wa kulia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku chache baada ya Mhe. Dkt. JPM kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri na kutenganisha Wizara iliyokuwa imechanganywa na kilimo na ufugaji, achana na Ile ya Nishati na madinj. Nimeona...
0 Reactions
3 Replies
743 Views
Angalia Bill zako, angalia ndoto zako, angalia malengo yako kwa kias gani umeyatimiza, angalia kwenye hali yako ya sasa iko vipi, angalia akaunti yako, jiulize wikiendi una haki ya kupumzika ...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Declaration of interest. Naunga mkono vita dhidi ya vitendo vya kishoga kwa 100%. Mapenzi ya jinsia moja(ushoga)ni vitendo visivyovumilika katika jamii za kiafrika richa ya baadhi ya mataifa...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Back
Top Bottom