Mfalme Daud
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 170
- 125
Habari ya leo wanajamvi. Kama kichwa kinavyojieleza, naombeni msaada. Nimekuwa napokea msg zaidi ya mbili kila siku iendayo kwa Mungu ambazo ni za kitapeli. Nimemtaka huyo anayenitumia aache lakini bado business as usual. Nimepiga pia huduma kwa mteja, but wamesema hawawezi kuzuia msg za mteja kwenda kwa kwa mteja mwenzake hivyo nitafute namna nyingine ya kuzuia. Naombeni msaada maana hii ni kero kwangu, namna gani naweza kuzuia hii dhoruba isiingie kwa simu yangu. LIMESEJI LENYEWE LINALOINGIA DAILY KWA SIMU YANGU NI HILI HAPA[emoji116] [emoji116] [emoji116]
"Habari yako mjukuu wangu, ile dawa ya biashara pamoja na zindiko la mali vimekuwa tayari,uwahikuja kabla sijasafiri.mana nataka kwenda naigeria naire dawa yamvuto na chuma ulete nayo nimetengeneza. nimimi mganga wako wa sumbawanga".