Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani mnawakata wazee pesa zao za msaada kutoka TASAF 10000 ili waweze unganishwa na NHIF? Si wanatibiwaga bure? Iweje bima wanalipia tena mnawakata pesa ya msaada?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niaje wakuu!!! Leo nataka niongelee jambo hili la amani kwa muktadha huu. Mara nyingi pia umewahi wasikia watu wakisema nimeridhika na umasikini wangu..... Mimi huwa nikiwasikia huwa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi kweli shule za msingi kuna wanawake au watoto wa kike. Je, nikisema magazeti mengine ni ya hovyo ntakuwa nakosea.
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Maneno ya hekima huuponya moyo unaougua, hufariji waliovunjika na huwapa nguvu waliokata tamaa. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya maneno mbalimbali ya hekima “WISDOM CORNER” unaweza kushare...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mama mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambale wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ameilalamikia Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa kushindwa kumkamata Mkuu wa Kituo cha Polisi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Msanii bongo amwangukia Magufuli Muigizaji wa filamu bongo Shamsa Ford amemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, na kumtaka alegeze kidogo kamba ili hali ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natambua kuwa muundo mbinu ni kitu cha msingi katika maendeleo ,swali langu ni hili kumekuwa na sintofahamu juu ya wapi Reli hiii inapitia kiasi cha kufanya watu wengi kuwa na wasiwasi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wandugu, Mungu ibariki Tanzania ,Mimi mzalendo wa nchi yangu,nashukuru juhudi za Presidaa kuzuia makinikia na kuanzishwa sheria mpya ya madini,nashukuru makubaliano ya mazungumzo ...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Muone Huyu ndio Mamba Mkubwa Zaidi Duniani
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Miezi mitano iliyopita nilikuwa na mabishano makubwa sana mimi na Rafiki zangu. Tulikuwa tukibishana hasa juu ya wizi wa ACACIA. Hasa tulibishana juu ya usajiri wa Acacia na Malipo ya zaid ya...
6 Reactions
40 Replies
6K Views
Hawa jamaa wameanzisha smartmalipo app ya android inayokuwezesha agent kufanya huduma za malipo kwenye simu yako ya kiganjani baada kuona mashine zao hazina soko tena. Cha ajabu hajajajipanga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nauliza basic salary ya Nurse mwenye diploma
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari wana jf, aliekuwa daktari bingwa wa mifupa dr. Baki amefariki dunia nyumbani kwake kibaha kwa mathias toka siku ya jumatatu. Dr. Baki alikua anasumbuliwa muda mrefu na maradhi ambayo...
2 Reactions
20 Replies
12K Views
This is one of the best set of advice l have ever read. 1. Take risks in your life. If you win, you can lead; if you lose, you can guide. 2. People are not what they say but what they do; so...
0 Reactions
8 Replies
856 Views
Kampuni ya Mobbet inayochezesha kamari ikiwatumia wasanii Mpoki na Kajala imelipa kodi ya sh 2.1 bil kwa kamari iliyochezwa mwezi September pekee. Hongereni wazee wa mikeka, Source ITV habari!!
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu Information + Education = knowledge INFORMATION; Wengi wetu tunazo,kwa mfano tunajua biashara ya kuku inalipa ila inategemea soko,upatikanaji,n.k EDUCATION ; not everybody has...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka, Zamani ungeonekana kituko...
3 Reactions
132 Replies
17K Views
Salaam,wana jukwaa kuna jambo linaendelea huku mkoa wa Tanga,ningependa kushare nanyi pengine kuna wanaofahamu kuhusu jambo hili, iko hivi kuna watu wanashirikiana na Nmb kuzunguka mkoa mzima...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tunaishukuru serikali kwa kumaliza utata wa mgogoro wa makinikia , ambao ulisababisha makontena kukamatwa bandarini na kuzuiwa kusafirishwa . Sasa kwa vile makubaliano yamekamilika na Tanzania...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom