Ukipata fedha ndio bata yako hapo hapo usisubiriAngalia Bill zako, angalia ndoto zako, angalia malengo yako kwa kias gani umeyatimiza, angalia kwenye hali yako ya sasa iko vipi, angalia akaunti yako, jiulize wikiendi una haki ya kupumzika ???! Nice weekend wapendwa
Mkuu ukisubiri malengo yatimie ndio u enjoyKwaiyo mkuu unajiwekeaga malengo alafu huyatimizi?
Hali ikiwa nzuri ndio upumzikeKweli kabisa mr jose
Kweli kabisakwakweli weekend kwangu nazichukiaga sana maana ndizo siku ambazo matumizi yanakuwa makubwa kuliko siku zoote,
sio kwa starehe ila tu sababu wengi wanakuwa wapo nyumbani basi lazima nipasuke...
bora hata ninapoamuaga mwenyewe weekend/siku yangu ya kupumzika iwe hata j5 afadhalii..