GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Kick ya madini jana imetumika kuzima mjadala wa afya na picha za tundu lisu
Wana JF, Hakuna kisichopangwa ile trend ya habari za lissu iliwashutua sana mamlaka wakaamua kulazimisha timu ya majadiliano wafike mwisho au hitimisho.
Ndio maana Taita mwenyewe ze Big boss amekiri mwenyewe kuwa walipofika pale kwenye press bado walikaa masaa matatu kujadiliana wafikie muafaka.
Mawasilisho au presentation itakayofanywa na wale wakata umeme kwenye Board ndio itatoa jibu kamili
Ndio maana pale kwenye press kundi kubwa la wajumbe hawakuwepo ile ilikuwa dharula
Mamlaka imesoma upepo ulivyokuwa unavuma umeona kama mtu yule wa Nairobi ataharibu Front page za habari hivyo wameamua kuzima zile picha kwa kick ya madini kitu ambacho hakitasaidia
Ni rahisi kuficha uwongo kuliko kuficha ukweli, Ukweli unajidhihirisha kwa time factor, kila muda unapoenda ukweli hujulikana,
Cha kusikitisha mkalimani alitafsiri maongezi ya Thorton yaliyolazimishwa ndani ya masaa matatu lakini yale ya Kiswahili hayakutafsiriwa kwenda Kiingereza weka kiulizo kwanini? Mmmh au zilikuwa chai kutufurahisha