Bwn.S.K.JAPHET (BHUZUZU) alizaliwa Tar.05 Julai, 1974 katika eneo la Manyovu kijiji cha Mwayaya, Wilaya Buhigwe, Mkoa Kigoma. Ni mtoto wa 7 kati ya watoto 9 wa familia ya Mzee ANGELO BUZUZU...
Visiwa vya Zanzibar vimepokea wageni 300 toka OMANI wakiwa na agenda tofauti ikiwa ni pamoja na kufanya biashara, kusalimia na kutalii.Wasiwasi wangu huu ujio utatusadia ,tutanufaikaje au una...
Watu 7 wakazi wa maeneo ya Parki Mugumu wameuwawa kikatili kwa kumiminiwa risasi bila huruma na askari walinzi wa hifadhi ya Serengeti wakiwa kwenye mashimo ya dhahabu ya Kilima Fedha.
Tukio hilo...
Yaani hawa halotel wamekuwa wezi saivi kifurushi cha strimika youtube kimeshushwa kutoka mb 1220 hadi 600mb kwa shilingi 500 sasa hapo strimika nini sasa?
jamani sasa TCRA wekeni limit ili...
Habari wandugu. Naomba kujua kama askari wa usalama barabarani wako juu ya sheria?
Leo asubuhi nikiwa natoka nyumbani kwangu, umbali kama wa kilomita moja tu kutoka kwangu nilisimamishwa na...
Kwa unyonywaji uliofanywa na makampuni ya madini, nashauri kiasi cha fedha zitakazolipwa kitumike kujenga daraja la kigongo-busisi kama kumbukumbu ya unyonyaji uliofanywa na makampuni ya madini...
Ndugu zangu wakazi wa kariakoo ,magomeni ,upanga ,posta mkisikia mingurumo siku ya Leo au kesho msichanganyikiwe
Kama ilivyo miaka yote wahindi wanasherehekea siku yao iitwayo Diwali day...
Kama mnavyojua jamani vyuma vimekaza sana usawa wa bamkubwa, nimepata kibarua cha laki 2 hivi mkoa wa Dar, sasa swali ni je nitaweza kuishi Dar na mshahara wa laki 2 na naskia maisha ni magumu...
Ya Moro hakuna kauli makini toka selikalini kukemea tukio la fedheha
Tujifunze kwa USA tukio la kutoa uhai hukemewa punde na mikakati ya usalama ya hali y juu kufuatilia.HIVYO TUITAKE KATIBA...
UONGOZI wa Hospitali ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu umembadilishia majukumu Daktari,Laurent Biyengo na kuwa mlinzi katika lango kuu la kuingilia ndani ya eneo la hospitali hiyo kutokana na...
Wadau habari zenu nisiwachoshe mojakwamoja kwenye mada sisi ni wahanga tumevunjiwa nyumba zetu bila ya malipo uku Kimara Mbezi.
Sasa chakushangaza kabla ya bomoa bomoa, Serikari ilitoa agizo...
Habari jamani.
Hivi naomba kujulishwa jambo moja!! Jana kocha wa Simba Jackson Mayanja kajiuzulu. Leo Mara Paaaaaaaap kapatikana replacement kutoka Rwanda raia wa burundi. Mara Paaaaaaaaaaaaaap...
Kuna watu wana "ombwe" la kupenda, anaweza kupenda mtu akasahau watoto wake, wajukuu zake hata hatma ya kizazi cha tatu na cha nne baada yetu kupita.Wamegeuka wajinga Tobo, Tobo, Tobo, ooh picha...
Serikalini ni kama kuna tatizo gani sijui.
Mibaba mizima serikalini miogaaa.Inaishi kwa hofu mno japo vimishahara kidogo. Ukimtekenya mtu aache kazi anakuwa muoga mno.Sijui kwanini.
Mbona watu...
Wakuu,
Kwanini serikali isiwekeze kwenye uanzishaji wa kampuni yake ya ving'amuzi?
Tungepata fedha nyingi sana tungekua mbali sana tungeuza vifurushi tungekua mbali sana
Uchumi ungeimarika...
Mwezi Julai waliposema wanaondoa road licence kwa wenye magari kuna watu walifurahi. Si mimi kwa kiwango kile kwani nilijua wanataka kutoza zaidi kwa kuweka kwenye mafuta.
Kumekuwa na malalamiko...
Kumekuwa na mporomoko wa bei ya dhahabu kwa wachimbaji wadogo Mjini Geita pekee wakati bei ya dhahabu London ni dollar 41.4 ambayo ukibadili kwa hela ya madafu ni sawa na sh 109000ukigawa kwa 12...
Ndugu watanzania maeneo mbali tumeona uvunjwaji wa nyumba za watu kisa kujenga barabarani ama kwa kujua au kutojua,
Nimewahurumia sana watu waliovunjiwa nyumba kwa mahesabu ya haraka wanafika...
Nimekaa tu nikakumbuka visa na mikasa ya wanafunzi tuliokuwa tunasoma Shaban Robert. Sisi ndo tulikuwa habari ya mjini kwa kuonekana ni mambo safi na pia ngeli ndo home kwake. Nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.