NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Wadau kwema
Leo nimeifurahia route ya kariakoo to kimara kwenye mwendokasi
Sijasumbuka sana japo kaushamba karikuwepo uzuri mie ni mtu wa kujiongeza kwa sana na kusoma ramani imekaaje [emoji1]
Zile kero za makonda(not bashite) na wapiga debe plus abiria kugombania daladala sijaziona! [emoji41]
Safi sana watoa huduma(UDART) na walipa kodi!