Geita. Vurugu kubwa zimeibuka katika Shule ya Sekondari Geita baada ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita kutishia kuchoma shule kushinikiza wenzao wanne wanaoshikiliwa na polisi waachiwe...
Watu wengi wamekua wakidhani kwamba maneno haya mawili yana maana iliyo sawa,la hasha,
Kujifungua - Ni kitendo cha mwanamke kumtoa mtoto ndani ya tumbo lake ambapo mimba ya mtoto huyo ilitungwa...
Mwanza. Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Ashia Ismail kwa tuhuma za wizi wa watoto watatu Jijini Mwanza.
Kamanda wa polisi mkoani...
Katika kuonesha kukaidi maagizo ya waziri wa elimu Bi Joyce Ndalichako, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Bi Getrude Gimbana ameamua kuwahamisha walimu 55 kutoka shuile za sekondari kwenda...
Nilihamia mtaa fulani akawepo jirani yetu ana gari aina ya starlet glanza, hali hii ilimtesa sana kijana wangu wa kiume.Sikwamba sikuwa na pesa za kununua gari ya aina hiyo ila sikupenda kumiliki...
PETE HAILAZIMISHWI!
Umeanza na mtu mahusiano! Wewe ni "mgeli" umejiachia weeee, ukagundua mwanaume yupo kimaslahi! Si ukaanza kumbania salamu huku unamlazimisha akuvishe pete! Mwanaume akakukata...
Kihistoria mwanadamu alizalisha kila kitu alichokihitaji kadiri binadamu walivyokua wengi waligawanyika katika makundi kufuata rangi na lugha WINGI HUU NA TAMAA YA MAISHA MAZURI VIKAPELEKEA JAMII...
Kumekua na wahitimu wengi wa shahada ya tourism and cultural heritage na shahada ya wildlife management pamoja na shahada forestry management wanaomba kazi kwenye kada mbalimbali za Tanapa na...
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera...
Hii habari inazidi kutoa Mwanga wa kinachoendela kati ya Barrick Gold Corp ambaye ni mmiliki wa Acacia na Serikali ya JMTZ!
,,The government of Tanzania from now onwards will deal directly, as we...
Wakuu za asubuhi,
Nimeamka leo asubuhi kivingine kabsa, nina afya tele namshukuru Mungu, nikajiandaa etc, nipo kwenye foleni nikawa naangalia nje naona jinsi watu wanavyohangaika kwenda...
Umekaa kimya sana Mzee Lowasa, ina maana baada ya yote haya yanayoendelea ndani ya Chama chako chadema, hauna hata la kitu kutuambia? Hii siyo kawaida, sema kitu, ongea chochote tu, hata mtakie...
" kwa hapa tulipofikia juu ya matibabu ya Mpendwa wetu Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu sasa tunaiachia Familia yake kuendelea na maamuzi mengine ya wapi apelekwe kwa matibabu zaidi na uratibu mzima...
Mwanafunzi wa shule ya sekondari Nzasa amefariki dunia baada ya kuchomwa kisu shingoni kwa kisa kinachodaiwa kugombea mwanamke.
Mwanafunzi huyo Ashiri Musa ambae alikua anasoma kidato cha nne...
Mhashamu Baba Askofu Castor Msema amefariki dunia
JIMBO Katoliki Tunduru Masasi limempoteza Askofu wa Jimbo hilo Mhashamu Castory Msemwa( katikati pichani) aliyefariki leo majira ya saa 7...
Hapa haijarishi anakudai shilingi ngapi ukifata haya ata kama anakudai lazima akukopeshe tena.
1:Mjengee uaminifu hapa ni kwamba jaribu kumkopa na kumlipa mara kwa mara then mwisho wa siku mkope...
Rais Mstaafu wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema uchangishaji fedha kwa ajili ya miundombinu na kilimo ni lazima uende kwa pamoja kwa sababu masuala hayo ni masuala mtambuka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.