Je, ni kweli kwamba bangi inaweza kumzuia mchawi asiingie ndani kwako?

Adm

Senior Member
Sep 19, 2010
149
45
jamani wanajf wenzangu naombeni mwenye ufahamu na hata uzoefu na hili anifahamishe.HIVI NI KWELI BANGI INAWEZA KUMZUIA MCHAWI ASIINGIE NDANI KWAKO KUKUWANGIA?
 
Aisee may it is possible.

Mimi ktk maisha yangu hadi hivi karibuni 35+ nilikuwa sijawahi kuona mmea wa bangi. Sasa nikaajiri kijana mmoja ambaye ameoa binti toka Rufiji. Wanakaa kwenye servant Quarter basi siku moja nikaita mafundi wakarabati hiyo nyumba wanayokaa. Nikiwa nawaelekeza mara mmoja wao akasema mmea mmojawapo pale ni BANGI. Mimi nikabisha sana wao kwa pamoja wanne wakadai ni bangi na wakanielekeza kuwa jina jingine la bangi ni majani saba. Wakanitaka nihesabu majani ya ule mmea. Kweli yalikuwa saba, akapita mzee mmoja nikamuuliza naye akadai ni bangi. Kijana kuulizwa akaruka hata yeye hajui (huyu twatoka mkoa mmoja - kanda ya ziwa) Binti naye karuka lakini ktk upelelezi wangu nikaelezwa kuwa binti alidai ni dawa ya kuzuia wachawi kwani ana mtoto mdogo anaogopa....

Hivyo inawezekana na kama confirmed basi nijuze nikapande maana ile ilingolewa na kuzikwa shimoni
 
Aisee may it is possible. Mimi ktk maisha yangu hadi hivi karibuni 35+ nilikuwa sijawahi kuona mmea wa bangi. Sasa nikaajiri kijana mmoja ambaye ameoa binti toka Rufiji. Wanakaa kwenye servant Quarter basi siku moja nikaita mafundi wakarabati hiyo nyumba wanayokaa. Nikiwa nawaelekeza mara mmoja wao akasema mmea mmojawapo pale ni BANGI. Mimi nikabisha sana wao kwa pamoja wanne wakadai ni bangi na wakanielekeza kuwa jina jingine la bangi ni majani saba. Wakanitaka nihesabu majani ya ule mmea. Kweli yalikuwa saba, akapita mzee mmoja nikamuuliza naye akadai ni bangi. Kijana kuulizwa akaruka hata yeye hajui (huyu twatoka mkoa mmoja - kanda ya ziwa) Binti naye karuka lakini ktk upelelezi wangu nikaelezwa kuwa binti alidai ni dawa ya kuzuia wachawi kwani ana mtoto mdogo anaogopa....

Hivyo inawezekana na kama confirmed basi nijuze nikapande maana ile ilingolewa na kuzikwa shimoni

du kweli io kali

twende tmk wakakupe twishen ya matumiz ya kuvuta au kujikinga2 na bang pasipo kuivuta

panga siku ntakupeleka
 
du kweli io kali

twende tmk wakakupe twishen ya matumiz ya kuvuta au kujikinga2 na bang pasipo kuivuta

panga siku ntakupeleka

Nami nilikulia TMK wewe nijuze ni pande ipi nitaenda mwenyewe
 
kwa mwalimu wa bang auelekekzwi UNAPELEKWA.

autak bas.
kwanza nimeghairi b nend amwenyewe ukaulizie...

Afadhali maana wewe ungeweza nivutisha bangi nikakamatwa BURE na kuswekwa ndani ngoja niendelee na kinga yangu ile ile ya kusambaza Biblia vyumba vyote na maji ya BARAKA pia. Hawa washenzi hawapiti hata kidogo
 
Waholanzi wameruhusu matumimizi ya bangi kwenye migahawa yao mahususi. Hivyo basi nadhani haina madhara sana ukitumia mara moja moja. TZ wakiruhusu nadhani matourist wataongezeka na serikali kufaidika!!
 
"Bangi nibangue, nyanya ninyanyue, kitunguu ntungue wachawi wasiniloge" Anoumours

Huwenda ikawa ni kweli
 
jamani wanajf wenzangu naombeni mwenye ufahamu na hata uzoefu na hili anifahamishe.HIVI NI KWELI BANGI INAWEZA KUMZUIA MCHAWI ASIINGIE NDANI KWAKO KUKUWANGIA?
sio kweli unapovuta bangi usiku ukalala unakua hujielewi kupita kiasi hvyo mchawi akiingia atakuchezea anavotaka na kuondoka
 
sio kweli unapovuta bangi usiku ukalala unakua hujielewi kupita kiasi hvyo mchawi akiingia atakuchezea anavotaka na kuondoka
wachawi wa siku hz kavu sana..wanakupelekea moto wa hatari,asubuhi ukienda kukata gogo unakuta linaambatana na kitu kama kamasi,ukisikia mkuu wa mkoa kakamata mashoga peacock hotel..unafurahia eti afadhali wanatuharibia nchi,kumbe we mwenyewe mwanachama wa lazima
 
Back
Top Bottom