Ushawahi kujiuliza ulikuwa wapi miaka elf moja,iliyopita
Na utakuwa wapi baada ya miaka buku,ijayo
Jiulize ni,kwann,umeumbwa yan ni nn lengo la kuumbwa kwako
Je baada ya maisha haya utakuwa na...
Leo kwenye mechi ya simba na yanga nimesikia vioja radio uhuru walipokuwa wanarusha matangazo ya mpira yaani wale watangazaji sijui walikaa jukwaa gani maana kelele za mashabiki zikawa zinasikika...
TUKTA tuanawaomba viongozi wafuatilie RAAW na utendaji wake kuna Migongano iliyopelekea Taasisi zilizo chini yake kupokwa stahiki zote anazostahili mfanyakazi kupewa na mwajiri.
Kuna mstaafu...
Ni kweli usiofichika kipindi cha prof Muhongo umeme ulikuwa hausumbui kama siku hizi mpaka unawaza labda Bombadier ndio inachukua umeme kila mara umekatwa na kuwafanya wakubwa na watoto kuwa na...
je wajua Tanzania mi nchi pekee Africa iliyobarikiwa kuwa na rasilimali Asilia nyingi zaidi??
swali ni je watanzania tunahusika vipi kutunza rasilimali zetu,au tunaishia kulaumu viongozi wa...
Kwa wapenzi wa Movie za sci-fi kuna movie moja iitwayo Minority Report (2002) - IMDb iliyoigizwa na muigizaji Tom Cruise watakua wanajua nini namaanisha. Movie hii kwa ufupi imeigizwa...
Angekuwa Lowasa au Mbowe hiyo milioni 300 USD isingeingia hazina bali wangehamishia kwenye akaunti zao Dubai!
Kuwa mkweli na nafsi yako halafu sema kama kweli unaamini kabisa Mbowe, Lowasa au...
Nimejikuta nikimwaminia sana huyu Mzee wetu simba wa Africa kutokana na yanayojiri mitandaoni.
Zipo quatations na gists mbalimbali zinazoandikwa in a funny way kisha zinam refer mugabe kama...
Kampuni ya UDART (Mabasi ya Mwendokasi) imesitisha huduma za usafiri kutokana na daraja la mto Msimbazi kujaa maji
Pia sababu nyingine ya kusitishwa kwa muda kwa huduma ya usafiri wa haraka ni...
Binadamu bhana.
Unakuwaje jasiri kufanya maamuzi ya kumuua binadamu mwenzio either kwa :-
1. Kumroga
2. Kumpa sumu
3. Kumpiga mangumi
4. Kumchoma kisu
5. Kumpiga risasi/bomu
6. Kumuambukiza...
Heshima,
Zaidi ya wafanyakazi 400 wa sekta za hoteli na ilinzi jijini Mwanza wamepoteza ajira baada ya waajiri wao kufunga na kubadilisha aina ya biashara ili kukabiliana na hali ngumu ya...
Hivi sheria ya kodi ya mapato kwa pikipiki za miguu mitatu(Bajaji) zinasemaje?
Mimi ninavyofahamu ni kwamba hizi pikipiki zimefutiwa kodi lakini kwa usumbufu, unyanyasaji unaoendekea hapa Lindi...
GreatThinkers,
Leo Alhamis 22/12/2011 mvua imeanza tena kunyesha, serikali bado inakigugumizi ya nini kifanyike juu ya hawa waathirika.
Inaamini kuwaambia marufuku kurudi kwenye hayo makazi ni...
*Ummy Mwalimu Aagiza Vituo vya Afya na Hospitali zote za Serikali kutenga siku maalum kila mwezi kwa ajili ya kupima Saratani ya Matiti na ya Mlango wa Kizazi*
- asema asilimia 45 ya wagonjwa wa...
Tarehe 17 mwezi wa kwanza mwaka 2001, mmoja kati ya wammiliki watatu wa Dolphin Fitness Gym iliyopo Suffolk County, Newyork, Bwana Alexender Algeri alikuwa anatoka ndani ya jengo zilipo ofisi za...
Hi wana great thinker kuna rafiki yangu kajaza fomu kugombea uongozi CWT viambata ni pamoja na salary slip.
Kila akienda kuzitaka mtandao unakuwa haupatikani kwa wiki nzima.Kuna dalili akakosa...
Hii tabia inaongezeka kwa kasi katika makanisa...
Sadaka hadi wengine wameweka mfumo wa kuweka kwenye sanduku lenye kaupenyo kadogo ili mtu asiweze kukwapua.
Wakusanya sadaka nao siku hizi...
Halmashauri ya Jiji la Arusha imeendelea kuwa Jiji lenye kutekeleza miradi na huduma bora kwa wananchi wake nchini.
Leo nimeongoza jopo la wataalum wa Jiji mbele ya kamati ya bunge ya hesabu za...
*NAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA RASMI KAMBI YA UPIMAJI WA MACHO, SHINIKIZO LA DAMU NA KISUKARI MKURANGA*
Naibu Waziri Wa Afya Mheshimiwa Faustine Ndugulile (Mb) leo amemuwakilisha Makamu Wa Rais Wa...
1.Kwanza jitaidi sana usiwe mchoyo wa knowladge ulionayo kwa wenzio kuwa muwazi pengine unaweza ukawa una tango umekaa nalo..
2.Jitaidi sana kuwa mtu wa practical sana na kujipangia project...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.