Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kukabiliana na habari za uongo zinazosambazwa katika jamii, Watanzania wametakiwa kutumia taarifa zilizothibitishwa na vyanzo vya habari vinavyotambulika kisheria. Kutokana na kukuwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
LEo ninaleta hoja katika mfumo wa swali. Kila kona sasa hivi imeonekana na tunajadili kwamba wawekezaji wengi ni wezi. Wanatuibia rasilimali zetu. Anaiba kwa miaka mingi lakini kuna watanzania mle...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
10/25/2017 Source: Jenny Ellen Brown Sometimes African service, outside the realms of a five star resort, can be incredibly frustrating. Nowhere is this more true than the train wreck that is...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
kutokana na faida za mti wa mlonge nilizo zisoma humu ndani, hivyo nimehamasika na dawa asili zitokanazo na mti wa mlonge. Nana imani kupitia tiba hii nitapona maladhi yangu yanayo nikabiri. Ivyo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mapema jana mbele ya waandishi wa habari mkurugenzi wa kituo cha Taifa TBC alipasua jipu mbele ya waziri Harisson Mwakyembe la kwa nini TBC ailushi habari za vyama vingine wakati ni television ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau, wote tunafahamu kuwa, Serikali(Rais)ilitangaza kuwa, kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, itakuwa ni siku ya usafi kitaifa. Wananchi, wakalipokea agizo hili, kwa mikono miwili. Lakini...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Salamu sana wana JF, Naweza sema mimi ni mshamba wa kutumia lift za ghorofa.Juzi nilipanda hadi ghorofa ya 5 wakati lift ilikuwepo. Hivyo wale mnaofahamu juu ya kutumia hizi lift naomba mnijibu...
16 Reactions
89 Replies
32K Views
Ndugu ukiona kiongozi msomi anakwambia hakuna jipya jaribu kufatilia kwanini anasema hayo? Serekali italipwa zile 300M Dolla, ila kwa awamu,,, trust this, kampuni mpya itayokuja ku replace Acacia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini...
8 Reactions
82 Replies
13K Views
Mmiliki wa Amazon awa wa kwanza duniani kwa kufikisha zaidi ya Dollar Bilion 90 Hii ni sawa na trilioni 200 Ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzani kwa miaka 6 Tulichukulia bajeti ya trilioni 30 kwa...
4 Reactions
14 Replies
8K Views
Kwanza natoa Pongezi kwa NIDA kwa kunipatia Kitambulisho cha Taifa, na mimi nawatakia kazi njema sana na Mungu awabariki sana maana katika kazi njema lazima Mungu ajitukuze. Ni haki yangu kukitoa...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
TANESCO imesema kutakuwa na katizo la Umeme leo Mkoani Kigoma kuanzia saa 3:00 leo asubuhi hadi saa 9:00 alasiri. Soma Zaidi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mjadala mzuri kidogo kwa wale tunaofuatila siasa na habari.Inahusu kufungiwa magazeti.Wenye muda tumfuatilie
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
"Una BONUS ZA MB 125! Jiunge sasa na kifurushi cha Internet Mwezi cha MB 500 @8000Tsh kupokea BONUS.Piga *148*00# Vifurushi vya Internet Tu Wiki" Hii ni moja ya sms inayonisumbua zaidi katika...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Je wajua kuna watu 7 pekee duniani wenye funguo za kuanzisha internet upya duniani iwapo kukitokea tukio lolote litakalo sababisha janga kubwa duniani ambalo linaweza zima mtandao. Programme hii...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa heshima kubwa kuwaomba watumishi wa idara hiyo muhimu kutoa haki sawa kwa waajiri na waajiriwa ,hii tabia ya kuegemea kwa waajiri ni kuwakatisha tamaa watumishi hasa wa sekta binfsi na kuanza...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Radi imeua ng'ombe 10 na kumvua mwanamke Koti alilovaa katika Kitongoji cha Itandora wilayani Tarime mkoani Mara, mwenyekiti wa Kitongoji hicho Elias Matto ameliambia gazeti hili kwa njia ya simu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Haiwezekani Umeme bado unakatikakatika halafu bado hatuambiwi hasa tatizo ni nini! Mfano huku kwetu kwanza tulikaa gizani kwa siku 2 mfululizo(masaa 48) baada ya muda ndio ukarudi, tulikaa nao...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Niliandika kuhusu wizi wa vipuli vya magari ulivyoshamiri hapo zamani kidogo, serikali kama ikasiliza kilio cha wananchi wake sana sana wa Dar es salaam, kupitia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom