Je wajua?

EthanMallaky

Member
Oct 28, 2017
57
30
je wajua Tanzania mi nchi pekee Africa iliyobarikiwa kuwa na rasilimali Asilia nyingi zaidi??
swali ni je watanzania tunahusika vipi kutunza rasilimali zetu,au tunaishia kulaumu viongozi wa serikali tuu!!kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika.
 
Weee unajua km huko Serengeti kuna mbuga za waarabu.Acha tuuu hata ule mlima wanasema siyo kwetu, watalii wanashukia huko alafu wanakuja huko.
 
Back
Top Bottom