Prof Muhongo tunakukumbuka!!!!!

Feberia

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
541
219
Ni kweli usiofichika kipindi cha prof Muhongo umeme ulikuwa hausumbui kama siku hizi mpaka unawaza labda Bombadier ndio inachukua umeme kila mara umekatwa na kuwafanya wakubwa na watoto kuwa na shangwe mara uwakapo UOOOOOOOO!!!!

Mnisaidie wadau ndio tunakoterajia 2025 kufika? Ndoto tena za mchana na nizaasiyefahamika
 
Nimesikia kauli za kumuwajibisha plant manager wa Kidatu Hyodropower. Sasa sijui kama ana shida kweli au ndo gari bovu limemuangukia yeye. Maana asipo patikana wa kumlamu basi kadhia hii ni nzito sana hasa kwa kipindi hiki ambacho SGR ipo masikioni mwa watu
 
Back
Top Bottom