Niliandika kuhusu wizi wa vipuli vya magari ulivyoshamiri hapo zamani kidogo, serikali kama ikasiliza kilio cha wananchi wake sana sana wa Dar es salaam, kupitia Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
Binafsi nashangazwa sna na nchi hii ya Tanzania! Taifa linalojidai kuwa Lugha yake ya Taifa ni Kiswahili.
Mikataba English, Makabrasha Ofisini English, Kadi za Matibabu Eng, kila kitu Eng...
Mara nyingi tumekuwa tukishuudia zana haramu za uvuvi kama nyavu zikichomwa moto hadharani mara tu baada ya kukamatwa, lakini pia Bangi na hata vipodozi vilivyokwisha muda wake wa matumizi.
Kwa...
Tulisikia wamekamatwa Polisi 2 tu kuhusiana na tukio hilo la FFU kupiga raia.
Lakini askari walioshiriki uhalifu huo ni wengi je Kamanda Mambosasa taarifa imefikia wapi mpaka sasa maana raia...
Habari ewe kijana mwenzangu!
Nimeamua kusitisha zoezi la kupost thread za kisiasa kwa muda usiofahamika, nasasa nitafanya kazi ile ambayo nimeitwa kwayo.
Roho wa Mungu kwa msisitizo anasema nami...
Heahima yenu wakuu,
Kwa wale wanaotumia barabara ya Mwai Kibaki (Old Bagamoyo), nakushauri utafute njia mbadala. Foleni ni kubwa kiasi kwamba hata bodaboda haipenyi.
Sijawahi kuona foleni kubwa...
Mungu si Athumani.
Maisha safi mshahara umetoka.Nyumbani package ya chakula safi bila tatizo. Nami nipo mtaani na watumishi wenzangu tunapata Safari ndogo baridi safiiiiiii bila tatizo.
Mpunga...
Kutoka kuwa Katibu Mkuu wa Mhimili wa pili wa Bunge hadi kuja kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Vitoweo nchini.
Naamini nitapata ushirikiano wenu mkubwa mno wa majibu yenu yaliyo Kuntu kabisa...
Sijui kwann.
Mishahara kiduchu ya watumishi wa umma ikitokaga huwa watu wanakula bata sana na kulewa mnoo kwa siku mbili tatu then wanakaukiwa mwezi wote wanakuwa watu wa mizinga tu au kulewa na...
Habari.
Nimetokewa na hali isiyokuwa ya kawaida,kwa Mara ya mwisho nililipia king'amzi mwezi uliopita,Na mwezi huu nikiwa kwenye harakati za kulipia upya,ile nawasha TV nakuta channel zote...
Wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa mfuasi mzuri sana wa mtandao huu.
Hivi karibuni niliamua kujiunga na kifurushi pendwa cha HALICHACHI,ili kinisogeze siku mbili tatu.
Lakini cha ajabu muda wa...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhulumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai...
Shahidi: Tuliahidiwa milioni 17 kila mmoja kumuua Msuya
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imeelezwa kuwa washtakiwa katika kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya waliahidiwa kiasi cha shilingi milioni...
RADI imeua ng’ombe 10 na kumvua mwanamke koti alilovaa katika kitongoji cha Itandora wilayani Tarime mkoani Mara, Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Elias Matto aliliambia gazeti hili kwa simu jana...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imeonya kutakuwepo na mvua kubwa maeneo ya Kanda Magharibi na Kanda ya Ziwa Victoria itakayonyesha ndani ya kipindi cha kuanzia kesho hadi Jumapili.
Mvua hizo...
Kwa mujibu wa utafiti Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa watu wanao amini katika ushirikina ambapo ni zaidi ya asilimia 80
Ikifatiwa na Rwanda, na Nigeria.
My take: Watanzania tubadilike...
Dk Mwaiselage amesema baada ya upimaji huo majibu atakayoyapata mpimwaji itategemea kama ana dalili za tezi dume au hana, iwapo hana dalili atapewa ushauri arudi baada ya miaka miwili, na kama...
Kila kona ya nchi hii hukosi kusikia malalamiko ya kero mbalimbali lakini ukizichunguza na kuzifuatilia kiundani kero hizo utakuta chanzo ni wanainchi wengi kfanya mambo yao kwa kutofuata sheria...
Wakuu vyuma vimekaza,nmeambiwa kuna yard hapa dsm wanauza magar kwa bei ya kutupa,ila huyo alienambia nae kaambiwa ila hajaijua bado ni yard gan,..naomben msaada kama kuna mtu anajua inaitwaje na...
Ni ajabu kilichomchukuwa Muzungu zaidi ya miaka 1000 kukijenga, Mwafrika anafikiri anaweza kukijenga ndani ya miaka 50, acheni kujidanganya Afrika na sisi Waafrika siyo Wazungu na hatuwezi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.