Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi wilayani ya Babati mkoani Manyara inamshikilia askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Kutuliza Ghasia FFU, Cosmas James akituhumiwa kumuua mzazi mwenzake, Regina Daniel 23 kwa kumpiga risasi nne...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari zenu Wakuu ni vyema tukumbushane kidogo mambo ya muhimu ili tusijejikuta tunapoteza kazi kizembe wakati familia zinatutegemea na mtaani kugumu. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Bodi ya Kahawa (T) ni shirika la umma ambalo baadhi ya majukumu yake ni:- · Kuishauri serekali juu ya kanuni bora za maendeleo ya zao la kahawa Tanzania · Kushughulikia...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Baada ya mashoga kutimuliwa huko basi huku bondeni kuna povu la Wasouth dhidi yetu usipime
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali naombeni Msaada kwa Hili hasa kwa Watu walioajiriwa kuhusu Pensions Fund ambayo ni nzuri naombeni Msaada wadau. Karibuni Wadau.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari za Jumapili ndugu wana jukwaa. Leo ni Jumapili nyingine tulivu ambayo tunapata wasaa wa kukaa, kutulia na familia zetu majumbani. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashirikisha Somo au ujumbe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Moshi. Zaidi ya Kaya masikini 60 za kijiji cha Kombo kata ya Kibosho Magharibi mkoani Kilimanjaro zimekabidhiwa kitita cha Sh33.1Milioni kwa ajili ya maendeleo . Akisoma taarifa kwa Wajumbe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toka Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani mwaka 2015 kuna mabadiliko mengi yamefanyika na kutokea uraiani na katika sekta mbalimbali za huduma, biashara, uchumi, miundombinu n.k Katika...
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Mi nadhani kwenye hili kuna watu lazma wawajibike kama sio Mganga mkuu wa Arusha/mkuu wa mkoa/waziri wa Afya hata mkuu ikibidi Kwenye bday yako nadani uende ukadonate generator Arusha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unakuta kijana msomi ana kazi yake safi inayompa kipato, ameoa binti msomi mwenzake ambae hana kazi. Cha ajabu utakuta binti amekaa miaka mitatu bila kazi akisubiri ajira. Lakini wakati huo huo...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea meli tano zenye vifaa kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa geti jipya kwa ajili ya kushusha magari na upanuzi wa kina cha Bandari ya Dar es Salaam (Dar es...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanabodi amani iwe kwenu.Tumshukuru MUNGU kwa kila jambo kutuamsha salama. Naombeni msaada wa namna ya kupata stika ya nenda kwa usalama barabarani ili kuepuka usumbufu wa faini ya TZS 30'000...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hamjambo. Goodfool nimerudi tena. Goodfool ,mim mi mwajiriwa wa serikali idara ya elimu kama mwalimu. Nimekua nikipenda mada mbalimbali na kila kitu kwangu ni sawa katika kujifunza thats why...
12 Reactions
78 Replies
10K Views
Imezoeleka NMB ni bank ya wafanyakazi wa serikali, lakini wanatafuta wateja kwa nguvu wakiwemo wafanyabiashara ili waweze kutumia huduma ya NMB ambayo ilikimbiwa. Sasa wameanzisha kitu kinaitwa...
1 Reactions
16 Replies
27K Views
Niko manzese saa 7 usiku nagonga beer, its weekend aisee wamekuja police wametukimbiza wametupa beers zimepigwa risasi tatu hewani, yaani leo tz tumefikia hapa hivi ccm mnatufikisha hapa! Vinywaji...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamme mmoja ambaye hajajulikana jina anayedaiwa kuwa ni mfanya biashara katika stendi ya mabasi ya Mpwapwa mkoani Dodoma amejichinja kwa kile kinachodaiwa kuwa...
4 Reactions
183 Replies
28K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe.Freeman Mbowe, leo Alhamisi 26/10/2017 ameshiriki misa ya kuuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama Margareth Jonathan Matlei mkazi wa Sombetini Arusha...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Na alaaniwe mtu huyo kwa lugha yake hiyo kuhusu kukosa Moja eti sasa ni Balimi kama malipo ya madini. Na yoyote yule anayeshabikia hilo na yeye laani impate popote alipo. Tanzania na Serikali...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Ushawahi kujiuliza ulikuwa wapi miaka elf moja,iliyopita Na utakuwa wapi baada ya miaka buku,ijayo Jiulize ni,kwann,umeumbwa yan ni nn lengo la kuumbwa kwako Je baada ya maisha haya utakuwa na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo kwenye mechi ya simba na yanga nimesikia vioja radio uhuru walipokuwa wanarusha matangazo ya mpira yaani wale watangazaji sijui walikaa jukwaa gani maana kelele za mashabiki zikawa zinasikika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom