Habari zenu.MDOGO wangu anapenda sana fani ya jeshi lakini no mwajiriwa idara ya Elimu afanyaje ili aweze upa moyo kitu inapenda? CD zote chumbani kwake za kijeshi tupu.Akiangalia gwaride LA...
Wasalam alykum ndugu zangu.
Wakati tunamaliziamalizia wikiend yetu naomba tushare hili lililofanyika hapa Arusha kwenye shirika la Nyumba.
Kabla ya mzee wangu kipenzi cha watu aliekuwa manager...
Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa
Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa...
Ni aliyekuwa mbunge kutoka Jimbo la wanaume hasa kwenye hule mkoa ukiingia Kuna bango limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara you MUST BE STRONG. Ambaye alipataga shavu Sana kwa kuuza vitabu vyake...
Polisi Mkoani Mtwara imeanza uchunguzi wa kifo cha mtoto SAID NASSORO mwenye umri wa miaka 11, mwanafunzi wa Shule ya Msingi Chuno katika Manispaa ya Mtwara/Mikindani aliye jinyonga kwa kutumia...
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogro SACP Ulrich Matei ameihama ofisi yake na kuweka kambi katika vijiji vya wilaya ya Kilosa vilivyokuwa na historia ya migogoro kati ya wakulima na wafugaji hasa...
Gazeti la Serikali Habari leo la 25/10/2017 limeandika habari ya kusikitisha katika mfumo wetu wa elimu ambapo wanafunzi 1,194 walichaguliwa Sekondari 2015 lakini wakiwa hawajui kusoma, kuandika...
Itv ni moja ya kituo cha television kilichokuwa kizuri mno hasa kwenye eneo la taarifa ya habari hapa chini. Ulipokuwa unaikosa hiyo taarifa inakuuma sana moyoni.Ila kwa kipindi hiki kituo hiki...
Gazeti la DarLeo linaandika habari hii ya maisha ya msichana Odillia Mikka (15) ambaye alikuwa ni hausigeli jijini Dar nyumbani kwa mzee Naftali Chacha (60) na kudaiwa kuanza kuwawangia.
Baada...
Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Saitoti Kimaki Mkazi wa mtaa wa Msaje wilayani Handeni amefariki dunia huku wengine watano wakijeruhiwa vibaya baada ya gari ndogo aina ya Noah waliyokuwa...
Imezoeleka sana.
Nyama huenda sambamba na nyama choma ama kitimoto au kuku choma au rosti! Na mtu akishalewa anakuwa anapenda sana vyakula vya mafuta mafuta.Ndivyo ambavyo hushuka kooni vizuri...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina amemepiga marufuku mifugo inayokamatwa kwenye hifadhi mbalimbali nchini kupigwa mnada bila maafisa mifugo kuipima na kujiridhisha ili kuepuka kuenea kwa...
Wakuu habari zenu, mnasoma uzi uu lakin tuwe makini tuone kuna ukweli,
Magufuli ni rais ambaye tumempokea kwa mikono miwili na ni rais mchapakazi hatuna ubishi na ilo,
Kuna mambo ambayo pamoja na...
Wakuu Mhesh Rais Dr. John Magufuli Atakuwa Na Ziara Ya Siku Mbili Mkoani Mwanza Kuanzia Kesho 30/10/2017. Malengo Ya Ziara Hiyo Kuboresha Uchumi Wa Nchi Kwa Kufungua Miradi Mikubwa Minne...
Baba unamhitaji akulinde wakati huo huo unamuogopa, sasa huwo ugomvi kati ya hivyo viwili ndivyo vinavyofanya watu wengi kuchangikiwa maishani mwao wawapo wakubwa, wengi wa Watanzania wamelelewa...
MAPAMBANO ya serikali dhidi ya rushwa, yametajwa kuipaisha Tanzania mbele ya wafanyabiashara na wawekezaji wa nje wakiwamo wa Ujerumani, ambao baadhi wameonesha nia ya kuwekeza katika madini...
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imeanza kulima majani aina ya lusini ambayo ni chakula cha Faru
Fausta ili kupunguza gharama za kumtunza mnyama huyo.
Faru Fausta mwenye miaka 54...
Nimebahatika kupanda hilo bus leo J2 kutoka Moshi to Dar,driver anaitwa Omari nambari ya gari ni T430DDJ.
Mapungufu yapo pamoja na lugha ya kuudhi inayotolewa na Conductor na Agent wa gari...
Mara Paaap...Kamanda Sirro kimyaaa, hasikiki, karibu wiki ya 3 sasa; yupo ndani ya nchi au kasafiri? Lakini awamu hii hakuna safari za nje tukimwacha Bashite! Nakumbuka mara ya mwisho kusikika ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.