Tanzania tuna bahati sana!

Tanzania tuna bahati sana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Angekuwa Lowasa au Mbowe hiyo milioni 300 USD isingeingia hazina bali wangehamishia kwenye akaunti zao Dubai!

Kuwa mkweli na nafsi yako halafu sema kama kweli unaamini kabisa Mbowe, Lowasa au Tundu Lisu wangeingiza hii hela hazina kwa ajili yetu, ...


Lowassa-na-Mbowe.jpg
 
Utajua tuuu watu wenye matatizo ya mtindio wa Ubongooo unahitajikaa ukapimwe mara moja uanzee dozi ukiendelea kukaaa utakuwa unapiga watuu mkuuuu fastaaa neenda Muhimbiliii pasikucheeee mkuuu
 
Angekuwa Lowasa au Mbowe hiyo milioni 300 USD isingeingia hazina bali wangehamishia kwenye akaunti zao Dubai!

Kuwa mkweli na nafsi yako halafu sema kama kweli unaamini kabisa Mbowe, Lowasa au Tundu Lisu wangeingiza hii hela hazina kwa ajili yetu, ...


Lowassa-na-Mbowe.jpg
Wee msenge huko Lumumba wanakufiriaga nn??
 
Cha arusha kinakupeleka arifu
Angekuwa Lowasa au Mbowe hiyo milioni 300 USD isingeingia hazina bali wangehamishia kwenye akaunti zao Dubai!

Kuwa mkweli na nafsi yako halafu sema kama kweli unaamini kabisa Mbowe, Lowasa au Tundu Lisu wangeingiza hii hela hazina kwa ajili yetu, ...


Lowassa-na-Mbowe.jpg

Hizo 300m USD ambazo hujaziona. Hivi kwanini unapenda kuandika maujinga tuuu muda wote. Hujisikii vibaya hata kidogo. Grow up.
 
Back
Top Bottom