Kiongozi wa Bunge la Seneti la Australia atangaza nia ya kujiuzulu kutokana na kuwa na Urai wa pacha wa Australia na Uingereza.
Stephen Parry amesema kuwa anafikiria kujiuzulu akiamini kuwa...
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari.
Lakini sasa yapata wiki mbili...
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na wasaidizi wake kadhaa.
Kwao ni kawaida kuprocess mortgage miezi hata land search...
Mzozo na malumbano mazito yametwala katika kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakihoji upotevu wa fedha zaidi ya Shiligi Bilioni moja kati ya mabilioni kadhaa ya...
Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na...
Salaam wakuu,
Wanabodi kwa mimi ninavyoona huu mfumo wa kidemokrasia kwa Afrika umeshindikana, wengi tunashuhudia vurugu na mitafaruku ambayo inaendelea Afrika kwa jina la demokrasia. Hivi...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Kifo ni nini? Kifo ni kitendo cha mmea, mnyama au mwanadamu kuishiwa pumuz, kwa tafsiri...
Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akawagonga.
Taarifa zisizo rasmi watatu wamefariki hapo hapo
Askari saba...
Haikuwa kitu rahisi Mimi kukubali kuhamia boarding / hostel kwa umri ume na stori za kipindi hicho kuhusu huko boarding. Kwa bahati mbaya mama yangu akapata nafasi ya kuongeza kisomo ktk chuo...
Huyu ni kijana anayependezwa naye, na sidhani kama ataacha kuhama anaye pale atakapoazimia kuhamisha serikali kuu yake Dodoma.
Sina hakika sana, ila naona kitu kma hicho kuja kutokea, na hilo...
Habari za wakati huu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kusema ukweli sijaona nia ya dhati ya wanasiasa wetu katika kulikomboa taifa letu (chama tawala vs upinzani) zaidi ya ushabiki wa simba...
Wakuu kwema humu mimi ni mteja mtiifu wa hii bank kwa muda kiasi nimekuwa nikifanya miamala yangu bila kufika tawi la bank,Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa hii bank, Leo nimefika Tawini Arusha...
Angalizo: Kwa wasio na uwezo wa kusoma thread ndefu, hii haiwafai. Imelengwa kwa Zitto, wafuasi wake na wale walioguswa na ile hotuba yake ya jana kwa vyombo vya habari.
Mara tu baada ya rais...
Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) kimenasa majahazi matatu yalisheheni magendo ya sukari na mafuta ya kula katika bandari ya Uzini yakiwa tayari kwenye majahahazi matatu kusafirishwa...
Kuna ndugu yangu kaja kuniomba ushauri afanye nini juu ya pesa shilingi laki tano aliyoikuta imezidi kwenye account yake.
Yeye ni mtu wa kawaida tu, hakuwa na mtu anayemdai wala hakuna mtu kama...
Kwenye suala la ajira kuna umuhimu wa uzoefu, lakini pia kuna haja ya kuwapo kwa nafasi za watu wasio na uzoefu, kwa sababu ni vigumu mtu anayetoka chuoni kuwa na uzoefu wa kazi wakati hajawahi...
Wakuu.
Hapo tu tukiwaeleza hali ni ngumu kuwekeza Tanzania na hata mazingira ya biashara sio rafiki.
Utakuta watu wanatoa povu unadhani kwa nini wawekezaji wanakimbilia nchi nyingine , ni kwa...
Najua watu wana mjadala wa Nyalandu na wengine mjadala wa Magu na wale ambao hawatakiwa "kubomoleshewa" kule Mwanza.. miye nina kijiswali kidogo tu nimekiokota katika pita pita zangu. Nilikuwa...
Kina dada kwanini mnapenda maswala ya imani za kishirikina, nafahamu kuwa wapo wanaume pia wanaofanya ushirikina lakini dada zetu mmezidi sana jamani. Japo si wote lakini
Kwa kweli mpunguze...