Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ninahitaji vyumba vitatu vya kupanga Masasi mjini nyumba iwe na umeme na maji.
Chumba kimoja kikiwa maater itakuwa bora zaid
Watanzania tunaongezeka lakini ardhi haiongezeki, hivyo mipango mizuri ya matumizi ya ardhi inahitajika. Kwenye mipango yako ya matumizi ya ardhi makazi, misitu, kilimo, ufugaji, uchimbaji madini...
Hamjamboni Waheshimiwa
Nimewahi Hudhuria Misiba Kwa Ndugu Zetu Wameru Pande Za Huko Kilala Ili Kutoa Pole Kama Ilivyo Desturi Zetu Watanzania.
Pamoja Na Lengo Hill Nimeweza Jifunza Baadhi Ya...
Habarini wakuu, langu moja tu naomba kama kuna mwenye ujuzi wa utaratibu gani unaofuatwa kisheria wakati wa kununua kiwanja/nyumba hasa ktk maeneo tata kama dar es salaam,
na JE ni sahihi kuishia...
Polisi wilayani Babati mkoani Manyara inamshikilia askari wa jeshi hilo Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Cosmas James akituhumiwa kumuua mzazi mwenzake, Regina Daniel (23) kwa kumpiga risasi nne...
Salute.
Natumai nyote mu wazima na mwaendelea vizuri vema na ujenzi wa taifa.
Ndugu zangu mim sina misingi ya chama chochote,naweza kujiita silent activist (mwanaharakati wa kimyakimya)...
Wadau,
Waziri Wa Ujenzi Mhesh Makame Mbarawa Akiwa Wilayani Chato Leo Ameweka Jiwe La Msingi Katika Ujenzi Wa Kiwanja Cha Ndege Chato. Mambo Muhimu Kwa Uchache Katika Ujenzi Huo Ni Kama...
kama mada inavyojieleza, kwa wale wenyeji wa Kigoma naomba mnielekeze lilipo kanisa la KKKT, kila nayemuuliza anasema hajui mahali lilipo, mie mgeni hapa na nipo maeneo ya katubuka.
(Logics)
Basi tukaona pale tukaenda huko ambako kuna tengenezwa pombe, tulifika pale kiwandani tukakaa kata kumi na debe ishirini za mbege. Ama kweli kiwanda kimeshamiri. Kucheki kulia na kushoto...
Habari ya ijumaa wakuu.
Leo nimepata wasaa wa kutembelea taasisi moja ya elimu ya juu hapa Daslam, nimemtembelea class mate wangu mmoja alieamua kuachana na kazi za utendaji na kua mwanataaluma...
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.
UFAFANUZI WA NHIF:
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi
Amesema hayo jana katika ziara ya kukagua maandalizi ya ujenzi huo eneo la Mererani ambao unalenga kudhibiti utoroshwaji wa madini...
hawa watu wanaroho mbaya sana japo sio wote ,utakuta mtu amekuajili anakulipa mshara vizuri tu lakin ukinunua kitu lazima nafsi imuume uvaa vizuri napo shinda anahis unamuibia hakumbuki hata...
Huko Karagwe Kijiji cha Ommageyo kijana mmoja aitwaye Jackob Anacret amemuua jirani yake anayeitwa Beitwa kwa kumchoma kisu!! Inasemekana ugomvi ulianza wakati marehemu alipohisiwa kutaka...
Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!!
Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala...
Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European...
Ni ajabu na kweli kuwa katika barabara hii polisi wamejizatiti na vi tochi kudhibiti mwendo na eti kuwa sasa hivi wako katika wiki ya nenda kwa usalama kukagua magari na hata kuthubutu kutoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.