Kitendawili: Mchana waah; usiku uh!


FrediusSnowden

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Messages
269
Likes
210
Points
60
FrediusSnowden

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2016
269 210 60
(Logics)

Basi tukaona pale tukaenda huko ambako kuna tengenezwa pombe, tulifika pale kiwandani tukakaa kata kumi na debe ishirini za mbege. Ama kweli kiwanda kimeshamiri. Kucheki kulia na kushoto nikaona jamaa wakiwa wanafunga mifugo tumboni; imekuwa minene kiasi kwamba I meli a malisho yote ambayo jamaa wana kula ili kuwapatia. Nikaona isiwe tabu sana nimekushirikisha hili unajua hata hapo ulipo wewe unafuga mifugo minene sana. Na hakika haujaichinja sasa ni zaidi ya miezi mitatu kama sio miaka! Looh.. Meza dawa ya minyoo jamani..

Nikasepa fasta kwenda shuleni nikakuta m alimu Juma akiwa anaandika notes za wanafunzi wake; kachukua anavuja jasho na vumbi la chaki. Nikasema basi ngoja ni mwombe ile laptop yake; ile ambayo Baba Jasmin alisema atampatia. Ajabu alinicheki kwa chuki akasema toka hapa, nipe deni langu niliokuwa naku dai? Mimi nikamsisitizia kuwa hiyo fedha hunidai wewe;mfate baba Jasmin si alisema atakupa ile laptop? Jamani mwalimu Juma ni mkali. Kwa hasira akatoa mzigo wa fimbo na mwanzi akapiga kengele kisha akatembea mboko mbili mbili kwa kila mwanafunzi.. Kisha wakasema asante;akapiga nao selfies kisha akatupia mtandao na hashtag [HASHTAG]#AtJob[/HASHTAG]..

Kwakuwa kulikuwa na wapambe pale wakaona mzuka tu mimi nikaona uduanzi tu, Nikasepa. Kona ya kwanza yapi li nikakuta na mapiraa wale wa nguo zisizo na rangi. Wakanyoosha mikono kwakuwa sikuwa na hakika ya kitu walichokuwa wameshika mkononi mi nikadhani kuwa ni chupa ya konyagi au maji kubwa...ajabu nasikia inatoa mwanga kama sio sauti. Wakacheki pale kisha wakatoa diagnosis yao kuwa shokapu zimelegea.. Makubwa! Hawa jamaa makenika ni mtoto kwao.. Tukakonyezana pale tukapeana mikono nikawa achia kidogo pale mimi huyo nikaeleza huko..

Nikafika nyumbani kalala cheki tv-shows, mara paap giza likawa kali TV ika nyamaza, picha zikafutika. Jamani.. Usiku uuuh!Nipe nyimbo ya dedication sasa...
 

Forum statistics

Threads 1,238,898
Members 476,226
Posts 29,336,070