Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwanasheria nguli na Wakili wa Mahakama kuu nchini Uingereza Giovanni Di Stefano ameweka kusudio la kufungua shauri kwenye mahakama ya haki ya umoja wa Ulaya (The Court of Justice of the European...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni ajabu na kweli kuwa katika barabara hii polisi wamejizatiti na vi tochi kudhibiti mwendo na eti kuwa sasa hivi wako katika wiki ya nenda kwa usalama kukagua magari na hata kuthubutu kutoza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mmevamiwa na majambazi mke wako akabakwa na akapata mimba We mwanamke ungeitoa..? We mwànaume ungemshauri mkeo akaitoe? Aisee Mie ningemwambia akatoe Mungu anisamehe kwa kweli mambo mengine...
1 Reactions
4 Replies
858 Views
Kwanini Mwanaume akituhumiwa au akishtukiwa mbele ya ' kadamnasi ' kwamba amechafua hali ya hewa ( Kajamba ) huwa mwepesi kukubali na kukiri ' Kosa ' tofauti na Mwanamke ambaye hata kama mpo nae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sinema ilianzia kwa Kenya kuzuia Magari ya mizigo ya Tanzania kuingia Kwao kwenda kuuza Mahindi na Tanzania nayo ikajibu mapigo kwa kuwapandishia ' tozo ' bidhaa zao ngoma ikawa draw ( Waswahili...
27 Reactions
120 Replies
13K Views
Ni watu nikiowafahamu fika,walituburudisha wengi na wengine tukifanya nao kazi.Miaka kadhaa baada ya kuondoka kwao hatuwakumbuki tena ,nawataja Kwa uchache.John Maganga, Patrick Kuambiana,Adam...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wadau, Kumekuwa na msg nyingi kutoka namba hii 0626338309 na ametoa namba yake ya mawasliano 0656971247 akitangaza habari za uganga lakini ukiipiga haipatikani lakini sms zinaenda,nauliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari ya leo kuna mtu anajua kampuni au china anaweza kuniletea mzigo wangu kutoka huko
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Chomboanga kiitwacho International Space Station (ISS), kwa Kiswahili, Kituo cha Kimataia cha Anga kitapita juu ya anga zetu za Tanzania kwa kumulika kama nyota na kupita pole pole kutokea upeo wa...
5 Reactions
67 Replies
10K Views
Vichwa vya habari wiki hii ni kujiuzulu katika nafasi yake ya ubunge wa Singida Kaskazini kwa tiketi ya chama tawala CCM, Na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili wa taifa hilo Lazaro Nyalandu kwa...
7 Reactions
145 Replies
15K Views
Hawa watesi wetu wako katika hatua za mwisho, kama wanajiamini kwa nini wanawawekea mizengwe wagombea wetu ili wao wapite bila kupingwa? Kama wanajiamini kwanini wanatumia risasi badala ya kujibu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mkuu wa Polisi wa wilaya ya Tunduru mkoani ruvuma, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisi, Bw. Nico Mwakasanga ameamuru kukamatwa kwa askari polisi mmoja aliyejulikana kwa jina la Bw. Mbunda na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wana jf naomba mwenye namba mkurugenzi wa kiwanda kisalawe chalks
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau Habarini Niwatakie Sabato Njema Yenye Baraka Tele. Kuna Taarifa Nimezisikia Lakini Sijapata Uthibitisho Hasa Ule Wa Kiutafiti. Hata Hivyo Nikijaliwa Naweza Fanya Utafiti Siku Za Usoni Ili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata amesema kuwa Lazaro Nyalandu alianza kuwa shida tangu alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa viwanda na biashara, aliposhindwa kufanya kazi za ubunge...
10 Reactions
64 Replies
6K Views
Napenda kuripoti kutokea mkoani Mpanda wilaya ya Nsimbo Mwalimu wa shule ya Sekondari Katumba wilayani Nsimbo amedai wanafunzi wa kike ni ruzuku yao hivyo asipigiwe kelele kwa kuwa amekuwa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wito umetolewa kwa wananchi kote nchini kuweza kujijengea utamaduni wa kuwekeza katika mfumo wa hisa na hasa katika hisa za Benki ya Maendeleo Wito huo kwa umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii serikali mda mwingine nashindwa niipe jina gani. Rais alipiga marufuku wanafunzi wanaopata mimba mashuleni kutokuendelea na masomo. Inamaana kwa wale ambao wazazi wao hawana uwezo habari yao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimesoma Nyakati na wakati nikaona haya. Nape atakuwa Katibu Mkuu wa CCM wakati wa Mungu utakapo wadia. Najua wengi watabisha ila ndo ukweli mchungu. Nimejifunza sana kwa JPM, Malima ndo huyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom