Godbless Lema: Nimempekala Mtoto Agakhan Hospital Bima (NHIF) Imekataliwa!!

  • Thread starter Mwanahabari Huru
  • Start date

Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,540
Likes
27,587
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,540 27,587 280
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.


UFAFANUZI WA NHIF:

40af45f2-8e86-471a-b910-a2dc46811072-jpeg.623862
 
S

senzighe

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
1,084
Likes
748
Points
280
S

senzighe

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
1,084 748 280
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.

View attachment 623280
Kwa hiyo sisi tufanyeje wewe kilaza/kipunga.Kimbelembele chako tu kwani unajua kabisa mpaka sasa Aga Khan hawajaanza kupokea bima za NHIF
 
A

airbag

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
1,179
Likes
1,298
Points
280
Age
48
A

airbag

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
1,179 1,298 280


Hilo lipo hospital nyingi sana

Huko kwenye hiyo mifuko ya jamii kumekopwa haswa.
Hospital nyingi wanadai hawajalipwa hela kutoka huko kwenye hiyo mifuko sasa wanashindwa kuendelea kuwahudumia wagonjwa wanaitumia aina hiyo ya huduma inabidi wawahudumie wale wa cash cash.

Pesa mbele
 
K

kacheto2015

Senior Member
Joined
Oct 25, 2015
Messages
121
Likes
158
Points
60
Age
48
K

kacheto2015

Senior Member
Joined Oct 25, 2015
121 158 60
Nimempeleka mtoto Agakhan Hospital kutibiwa , Bima (NHIF) imekataliwa kwamba hawajalipwa fedha zao kwa muda sasa. Uchumi unakuwa kwa kasi.

View attachment 623280
Tuelimishane tu kukataliwa Kutibiwa kwa kutolipwa Mtoa Huduma hakuna kabisa na uhusiano wa uchumi kupata. Labda tu tungeambiwa sababu za . kutolipwa
 
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
4,754
Likes
4,028
Points
280
shushushu VIP

shushushu VIP

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
4,754 4,028 280
Lema Muongo Muongo

Aghakhan hawakubali NHIF, Kama kweli kakataliwa ni kwa sababu hiyo sio mambo ya Fedha aende TMJ au Regency
wanakubali ww mm natibiwa sana aghakan ,,tatzo aghakan wanaangalia bima kama ipo active kama haipo active hautibiwi maana yake inakuwa haijalipiwa kadi yako
 

Forum statistics

Threads 1,238,682
Members 476,113
Posts 29,326,400