Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Wadau,
Waziri Wa Ujenzi Mhesh Makame Mbarawa Akiwa Wilayani Chato Leo Ameweka Jiwe La Msingi Katika Ujenzi Wa Kiwanja Cha Ndege Chato. Mambo Muhimu Kwa Uchache Katika Ujenzi Huo Ni Kama Ifuatavyo:
1)Gharama - Billion 39.15 Hadi Kukamilika
2)Kiwango - Kimataifa
3) Daraja - 4C
4) Ujenzi Ulipofikia - 52%
5) Mkandarasi - Mtanzania
7) Urefu - Kilometa 3
8) Muda Wa Kuanza Ujenzi - 2016.
9) Faida - Kuinua Sekta Za Madini,Uvuvi,Misitu N.k
10) Uwezo Wa Kuhudumia - Abiria 100-200
Aidha Mhesh Waziri Amesema Serikali Imetenga Bajeti Ya Kutosha Kuendeleza Viwanja Vya Ndege Katika Mikoa Ya
1) Lindi
2) Iringa
3) Shimiyu
Sekta Hiyo Ya Usafirishaji Itazidi Kuboreshwa Kwa Kuendelea Kutengewewa Bajeti Ya Kutosha Ili Kuiletea Nchi Yetu Maendeleo.
-Mheshimiwa Rais Akizidi Kudhihirisha Ubora Wake Kwa Kutekeleza Nia Yake Ya Dhati Ya Kuwakomboa Wanyonge Katika Umaskini Na Kuwaletea Maendeleo. Songa Mbele Kiongozi Wetu Wazalendo Tutazidi Kuwa Pamoja Nawe Siku Zote.
Boniphace N.Kichonge
Kada - Mzalendo
Arusha Tanzania
2017/11/04